Kikokotoo, nani wanapewa 33% na nani wanapewa 40%?

Kikokotoo, nani wanapewa 33% na nani wanapewa 40%?

Hassanjk

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
333
Reaction score
689
Lakini kubadili formula ya kikototoo ambayo ilikuwa inazidishwa kwa 1/540 na sio hii ya 1/580 ya sasa
Ni sawa na kumuongezea mtu shs 5,000 hafafu uchukue shs 4000, maana yake umemuongezea shs 1000
Au niseme;
Wangesema tu wale wa 25% watapanda wafike 27% na wale wa 33% watapanda wafike 35%. Ukweli ni kuwa, wale waanaojua hesabu hawawezi kupiga makofi kwani kilichofanyika ni danganya toto...
Najua mifuko haina hela nyingi, lakini kwa nini wastaafu waadhibiwe kwa kosa ambalo sio la kwao?


Pia soma:
 
Back
Top Bottom