Kikokotoo ni fomula itawasaidia wastaafu kupata walau kidogo ili waondokane na msongo hatimae kufa.
Serikali iliwalazimisha waajiri wawalipe wafanyakazi 10℅ ya mshahara wao ili waweke kwenye mifuko kwa ajili ya kustaafu apate pension.
Hilo la 10% ni kongole ya kwanza kwa serikali. Sasa we ukitaka walipwe zote basi walipwe ile 20% walokatwa kwa kipindi sawa na miaka alofanya kazi(monthly wise) uone watapata kiasi gani.
Mfano mtu alikuwa anakatwa 100,000 na mwajiri anamuongezea 100000 akistaafu kila mwezi apewe 200000+ka interest ni ujinga mtupu.
Pia suppose serikali isingeweka hyo mifuko means 10% extra usingepata ukistaafu unategemea nini?
muwe mnafikiria mbele