ITtechSOLUTIONS
Member
- Mar 31, 2014
- 12
- 5
MOTOR TAX CALCULATOR ni calculator inayoweza kutafuta ushuru wa TRA kwa kila gari lililoagizwa kutoka nje (Imported Vehicles) kwa urahisi zaidi. Pia Calculator hii itakuwezesha kujua gharama zingine zote mpaka kulipata gari lako; gharama ya gari na kusafirisha (CIF), clearing fee, port charges, storing charges, shipping line fee, number plate fee, vehicle registration. Agiza gari ukiwa na jua gharama zote - KUWA HURU. Unaweza kutumia calculator hii kwa kui download kutoka kwenye link hapo chini.
DOWNLOAD CALCULATOR bonyeza hii link >>> - MOTOR TAX CALCULATOR
Thanks
iTech Comp Group
Technical Support.
DOWNLOAD CALCULATOR bonyeza hii link >>> - MOTOR TAX CALCULATOR
Thanks
iTech Comp Group
Technical Support.