Kikokotozi (calculator) ya kupata ushuru TRA kwa kila gari linaloagizwa kutoka nje (Imported Cars)

Joined
Mar 31, 2014
Posts
12
Reaction score
5
MOTOR TAX CALCULATOR ni calculator inayoweza kutafuta ushuru wa TRA kwa kila gari lililoagizwa kutoka nje (Imported Vehicles) kwa urahisi zaidi. Pia Calculator hii itakuwezesha kujua gharama zingine zote mpaka kulipata gari lako; gharama ya gari na kusafirisha (CIF), clearing fee, port charges, storing charges, shipping line fee, number plate fee, vehicle registration. Agiza gari ukiwa na jua gharama zote - KUWA HURU. Unaweza kutumia calculator hii kwa kui download kutoka kwenye link hapo chini.

DOWNLOAD CALCULATOR bonyeza hii link >>> - MOTOR TAX CALCULATOR

Thanks

iTech Comp Group
Technical Support.
 
Hii inaendana na mabadiliko yaliyofanywa na bunge lililopita au ni ile ya zamani?

Thanks for the update. Tunalifanyia kazi ilo. Will publish the Updated Version soon as possible.

Again thanks very much.

iTech Comp Group
Technical Support
 
Mimi nilifikiri ni official imetolewa na TRA maana kama hata utatengeneza calculator kufuatana na vigezo wanavyotumia kuna wakati hawaifuati, maana kuna magari wameweka standard ya bei hata kama kwenye mtandao au mnada umepata kwa bei rahisi wao watakubamiza kodi kwa bei wanazofikiria wao
 
Calculator hii inatumia data kutoka kwenye calculator ya website ya TRA. Ushuru utaopata kutumia calculator hii utakuwa sawa na ule utaopata ukitumia na calculator ya TRA. Calculator hii inatumia standard za bei walizoweka TRA kwenye website yao.

Thanks
iTech Comp Group
 
Nimekuelewa ndugu basi mkimaliza mtujulishe
 
Kwa wafuatiliaji naomba kujuzwa bajeti ya julai imeleta mabadiliko gani kwene formula hii?
 
MOTOR TAX CALCULATOR (IUMVVS) ni calculator inayoweza kutafuta ushuru wa TRA kwa kila gari lililoagizwa kutoka nje (Imported Vehicles) kwa urahisi zaidi. Pia Calculator hii itakuwezesha kujua gharama zingine zote mpaka kulipata gari lako; gharama ya gari na kusafirisha (CIF), clearing fee, port charges, storing charges, shipping line fee, number plate fee, vehicle registration (For Non Utility vehicles). Agiza gari ukiwa na jua gharama zote - KUWA HURU. Unaweza kutumia calculator hii kwa kui download kutoka kwenye link hapo chini.

VERSION : Correspond to TRA NEW VERSION - 19

DOWNLOAD CALCULATOR bonyeza hii link >>> MOTOR TAX CALCULATOR IUMVVS

Please provide us with useful feedback concerning this software so we can keep improving it.

Mkuu,
Naomba kusaidiwa jinsi ya kuitumia. Siewelewi wapi naweka nini. In $ or Tsh.
Najua ni kazi kunielewesha, but jitahidi Mkuu
 
Umekwama kwenye table ya kutafuta TOTAL COST. Bonyeza link imeandikwa 'Help' utaweza kupata maelekezo kwa mpangilio mrahisi.

Thanks
iTech Computer Group
Technical Support
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…