kikombe cha babu kilikuwa fake

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Gazeti la Nipashe la leo limeripoti yakuwa dawa ya kikombe cha babu imethibitishwa kuwa haikuwa na uwezo wa kutibu.Taarifa hii ni matokeo ya utafiti wa NIMRI.
 
Too late na haisaidii kwa sasa zaidi ya kuwapa waliokunywa stress zaidi....wengi wameshakufa till day!!
 
Mbona mimi nimepona!??? acheni hizo!
 
Ni fake tena hakina hata ahueni. Watu wamepoteza ghalama zao nyingi tu. Inakeraaaaah.
 
kikombe ni mambo ya imani na si issue ya maabara. so ukipeleka huko lazima itakuwa feki
 
Poleni nyie mlioenda kwa mawili walikwenda kwa ajili ya matatizo hasa kisukari wengi nimewashuhudia wamepona
 
Gazeti la Nipashe la
leo limeripoti yakuwa dawa ya kikombe cha babu imethibitishwa kuwa
haikuwa na uwezo wa kutibu.Taarifa hii ni matokeo ya utafiti wa
NIMRI.

Pumb...zao! Walikuwa wapi kusema muda wote ilhali kilionekana dhaifu toka mwanzo?
JK ndie alieanzisha ujinga ule alijidai kwenda Oldonyo lengai kuangalia nyayo ya mtu wakale akapiga kikombe kwani pale ni karibu sana na kwa babu.
 
Ulikuwa huumwi wewe. Ubongo wako ulikudanganya

Kama aliweza kuwadanganya watu wengi na wa mataifa mbalimbali kwa kipindi kirefu vile,kama aliweza kuwaingiza mkenge viongozi wetu wa ngazi mbalimbali,basi alifanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…