Kikombe cha Babu Loliondo kinatibu HIV: Ripoti ya Kitaalamu- Muhimbili

Watafiti wa bongo ni kiboko. Yaani wao nao wanaendeleza uwongo babu wa Loliondo?
 
Since Babu hana uelewa na Biology basi itoshe kusema kuwa kuna uwezekano mkubwa kweli kulikua na maono! na kama tutalikubali hilo hatuna budi pia kukubali kuwa hio dawa inatibu! Maana haiwezekani mtu aje akuambie uko uchi hujavaa nguo, wengine waje wathibitishe kweli uko uchi halafu wewe uendelee kukataa kuwa hauko uchi! my point is dawa ya Babu ina uhusiano mkubwa na Uwepo wa MUNGU!!! Tuendelee tubisha tu maana si ndio kinachotufanya tuitwe binadamu?! hamjamuona MREMA alivyonawiri? ni BABU sio pesaya Bung
 
This is not a research it is just a litereture review!
 
Yeah, ripoti ni nzuri tena sana, ila heading ya thread ina misslead.
 
Kwani wewe study yako ni ipi? Unapopinga pinga kwa data maana kila mtu anauwezo wa kusema NO hata angekuwa kichaa. Ukisema no useme na why? Otherwise how do you differentiate yourself from lunatic?
Wewe kweli mfa maji huachi kutapatapa, hvi hyo report umesoma au unakurupuka tu. Report yenyewe inajieleza na recomendations zinadhihirisha hilo. Nilichopinga c report hii bali 'heading' ya thread. Acha kukurupuka, soma uelewe.
 
Hongera muhimbili!lakini haka kakipande cha conclusion kawekwe kwenye lugha ya taifa(kiswahili) ili watu wasikurupuke na kuelewa vibaya kama muanzisha thread!
Asante sana mkuu kwa kugundua hilo, si muanzisha thread tu kuna mtu anajiita Mfamaji nae kakurupuka halaf kwa lugha kali isiyo na staha.
 
Ili kuweza kuelewa na kupima ubora na matokeo ya utafiti ni vema kurejea katika malengo na njia zilizotumika katika utafiti:


 
kati ya wagonjwa 21 walioenda kwa babu ni moja nilie muona kapata nafuu...

Mh! Unanishtua kama una muda wa kuhangaika na hao watu wote! Ila kabla hatujaku-judge vibaya kuwa huna kazi za kufanya ungeteeleza wewe ni doctor? Watu 21 ni wengi ujue! Kujua taarifa makini za kila mmoja siyo siku moja au mbili.
 
hiyo ni ripoti ya kimahakama nini, mbona lugha mmmmhhh,inabidi utumie muda mwingi kwa dictionary kuliko kwa yenyewe
 
Waliokuwa wakimponda babu na tiba yake sijui wanajisikiaje wakiona positive article kama hizi?
 
Mambo ya IMANI maabara mmmmmmhh sioni jibu hapo!!
 

Hee daktari hapa si ndiyo unacheza na gene modification? Mwenyezi Mungu amepanga vitu kwa mpango wake, tukianza kucheza na hivyo ujue litakuja jengine kubwa zaidi ya hilo la HIV.
 

aise siyo wanasayansi wote wanaamini kuwa AIDS inasababishwa na HIV na wenyewe wana sababu za kisayansi vilevile ku support madai yao.Tuwe makini wakuu na wachakachuaji kina Gallo kabla hatujaanza ku suggest viji matibabu vyetu!
 
Hee daktari hapa si ndiyo unacheza na gene modification? Mwenyezi Mungu amepanga vitu kwa mpango wake, tukianza kucheza na hivyo ujue litakuja jengine kubwa zaidi ya hilo la HIV.

Dada yangu kuna kitu kinaitwa gene therapy!! unajuwa kuna more than nearly 100,000 genes, an error in just one can have severe repercussions on a person's whole physiology.. mfano mtu anazaliwa na ADA kwa ufupi it is an immune system disorder caused by a deficiency in a single gene product..Some diseases caused by a single aberrant gene, such as ADA, may be treatable with gene therapy sasa binti mkongwe unataka kuniambia just bcz mtu kazaliwa na ADA ni mungu ametaka so asiwe cured.!! au this word MUTATION limekutia hofu... binti mkongwe kwa kifupi u should know The technology exists to transfer a healthy gene into a patient's own cells, giving those cells the ability to recover.. it has been done before and AVA was the first disease to be successfully treated using gene therapy. sioni kama kuna kumuingilia Mungu katika uumbaje wake.. nafkiri mungu hajazuia tiba!!
neways Allah`s knows more....

aise siyo wanasayansi wote wanaamini kuwa AIDS inasababishwa na HIV na wenyewe wana sababu za kisayansi vilevile ku support madai yao.Tuwe makini wakuu na wachakachuaji kina Gallo kabla hatujaanza ku suggest viji matibabu vyetu!

1) katika science hatuna swala la zima la "kuamini" zaidi ya kuleta evidence proved ndani ya lab... na sio report kama hii ya muhimbili walio desa, ok wanaweza wakasema hawana modern labs but wangefanya biostatistical au epidemiological studies kwa muda wa miezi 6 kumchukuwa mgonjwa wa AIDS kumpeleka kwa babu na kumfuatilia CD4 cells zake kwa miezi sita waweke report hadharani... nafikiri hii report imekaa kisiasa zaidi maybe becz kuna viongozi wa kubwa washakunywa yale maji au kwa mambo mengi ya kisiasa.. (mimi sipingi dawa ya babu bcz ni herb "dawa ya kienyeji" italeta afadhali TU in some life style diseses but sio tiba ya any kind of disease inayosababishwa na virus espe. CYTOPATHIC VIRUSES and there is no any kind of miracle in it!!,..

nikirudi kwenye swali lako.. i couldnt agree anymore there is such a thing known as placebo tunatumia sana hospitalini.. sansana kwa drugs addicts .. mtu hana tatizo lolote lkini ana demand apewe dawa tunampa sugar pill au normal saline... "na atapona sababu yeye ataamini ni dawa even though si dawa" tunatumia sana kwa watu wanaokuja na complains about IBS "intra bowel syndromes" 70% of them wanapona kwa placebo.



2) nakubaliana na wewe HIV haisababishi AIDS .. kuna baadhi ya watu wanaishi na HIV viruses zaidi ya miaka 30. BUT you should know HIV viruses zinashambulia vital organs of the human immune system such as CD4+ T cells (a subset of T cells), macrophages and dendritic cells. It directly and indirectly destroys CD4+ T cells.Once HIV has killed so many CD4+ T cells that there are fewer than 200 of these cells per microliter. .. inakwenda na kusababisha AIDS. AIDS itasababisha uwepo wa opportunistic infections mfano . katika brain - Cryptoccoccal Menigitis , HIV-related Encephalopathy , Progressive Multifocal Leukoencephalopathy (PML),Toxoplasmosis etcl u can google more...

-

peace out!
 
Kazi Kweli kweli! hawa ni PhD'S! Wametumia muda mrefu kwenye internet na Publications za watu! well zingekuwa reference kwao kama tunavyoona, but wao kitaalamu zaidi hatuoni!! nikiangalia methodolgy na findings nachanganyikiwa! there is something missing here! sampling techniques and no of samples!, findings detected in instruments and instruments used? Laboratory used? unjustifiable laboratory findings! discussion and comparison with literature review?! Bongo kweli ni Bongo! Shirikisheni wataalamu zaidi otherwise mnaumbuka!
 
@JoJiPoJi:

It is hardly for that finding to be published in highly ranked Scientific Journals of Wests and USA in particular.
 
Wengine. Eee wengine huniambia aaa nawashwa nawashwa kwenye futii II
Pressure pressure huwa sawia aaa
Na malipo bei POWa aaaa

USAnii tu kote kote - kwa babu, institute of traditional medicine muhimbili, NIMR, wizara ya afya, kifupi ni Tanzania!!!

Mzee Yusuf akuambia nakula maisha silali njaa wenzangu!
 
Mkuu:

Unaposema sio wanasayansi wote inabidi ulete majina na fani zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…