Waliokuwa wakimponda babu na tiba yake sijui wanajisikiaje wakiona positive article kama hizi?
aise siyo wanasayansi wote wanaamini kuwa AIDS inasababishwa na HIV na wenyewe wana sababu za kisayansi vilevile ku support madai yao.Tuwe makini wakuu na wachakachuaji kina Gallo kabla hatujaanza ku suggest viji matibabu vyetu!
mkuu umenena vyema!kuna kundi fulani linaongozwa na profesa 'Peter H.Duesberg' wanapinga kabisa uwepo wa HIV.
nakubaliana na wewe!hata hivyo haamini Hiv ndio kisababishi cha ukimwi.hebu jaribu kucheki "The Aids dialemma"