Wale wanaoamini tiba ya vikombe wamepata neema nyingine baada ya bibi mmoja kuibuka huko mbarali na kudai kaoteshwa na mungu atoe kikombe cha dawa ambayo inatokana na kuchemsha mizizi ya mbuyu ambapo anadai kuwa inatibu ukimwi kwa kunywa kikombe kimoja tu. Hata hivyo tofauti na watoa vikombe wengine huyu kikombe chake kinauzwa kwa 20,000/-.
GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Kikombe kingine chaibuka Mbarali kwa 20,000/-
hawa raia wananichosha sasaWale wanaoamini tiba ya vikombe wamepata neema nyingine baada ya bibi mmoja kuibuka huko mbarali na kudai kaoteshwa na mungu atoe kikombe cha dawa ambayo inatokana na kuchemsha mizizi ya mbuyu ambapo anadai kuwa inatibu ukimwi kwa kunywa kikombe kimoja tu. Hata hivyo tofauti na watoa vikombe wengine huyu kikombe chake kinauzwa kwa 20,000/-.