raheezle
Senior Member
- Aug 31, 2017
- 114
- 90
Salaamu wakuu wa jukwaa hili..
Nilikuwa na swali moja juu ya ukomo wa muda wa kwenda kuripoti tukio la mtu aliepotea maana tulienda kuripoti tukio la kupotea kwa ndugu yetu katika mazingira ya kutatanisha ya takribani mwezi mmoja uliopita ila jibu tulilopeww ni kwamba muda tuliotakiwa kwenda kuripoti umeshapita na ilitakiwa tufanye hivyo ndani ya siku saba (7) tangu tukio litokee hii ni kweli ama imekaaje hii naomba mnijuze