We ndugu yako amepotea mwezi mzima hushituki?hutoi taarifa wala kufatilia ktk vyombo vya habari huo ni uzembe.wao wataanzia wapi sasa maana watataka maelezo yanayoweza kuwasaidia waanzie wapi kwa kua ni muda mfupi tu toka amepotea.sasa mwezi mzima hata pale pa kuanzia hapatawasaidia,so we nenda kwa mganga wa kienyeji umuite kivingine labda.acha uzembe na kusumbua jeshi la poloce,wana kazi nyingi za ulinzi za kufanya.