kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Miaka 27 huwezi kupata ajira uhamiaji??!Naandika nikiwa na majonzi mengi sana mimi ni kijana wa miaka 27 jobless ambae napambana na natamani kubadili maisha yangu ila hivi vigezo vya ajira kwa kigezo cha umri vinatukosesha sana ajira sisi wagonga ulimbo ni kwa mara nyingine tena mfumo wa wa ajira portal uhamiaji umenitema kisa umri wanguView attachment 3172126
Nimeumia sana kaka anguMiaka 27 huwezi kupata ajira uhamiaji??!
Serikali inaelewa kweli nchi hii watu wanamaliza chuo wakiwa na wastani wa miaka mingapi?!
Asante sana ndugu yanguPole sana mkuu
Ni kukosa tu uelewa wa mambo na kujifanyia mambo kimazea, uhamiaji hata sio kazi ya kuhitaji manguvu sana, hata mzee wa miaka 50 anaifanya vizuri tu. Pia wangepewa watu wenye umri mkubwa ndio ingekuwa sahihi zaidi kwa sababu wana uzeofu wa kukutana na raia wa mataifa mbalimbali.Nimeumia sana kaka angu
Mifumo sio rafiki kabisa kaka
Kabisa ndugu yanguNi kukosa tu uelewa wa mambo na kujifanyia mambo kimazea, uhamiaji hata sio kazi ya kuhitaji manguvu sana, hata mzee wa miaka 50 anaifanya vizuri tu. Pia wangepewa watu wenye umri mkubwa ndio ingekuwa sahihi zaidi kwa sababu wana uzeofu wa kukutana na raia wa mataifa mbalimbali.
Tangazo limesema 18-23 kwa form 4 halafu 18-25 kwa wenye professionMbona age limit ya hizo mbanga ni miaka 30. Inakuaje wewe inakukatalia au hauna Degree
Kwenye sifa za muombaji soma kipengele CHA 10 (X)Tangazo limesema 18-23 kwa form 4 halafu 18-25 kwa wenye profession
😳😳Kwenye sifa za muombaji soma kipengele CHA 10 (X)
Ukitoa mimacho ivyo maana yake nini? Sema kama hujaelewa au kama wewe una namna nyingine uliyoelewa pengine mimi nakosea
Ndio nina diplomaMbona age limit ya hizo mbanga ni miaka 30. Inakuaje wewe inakukatalia au hauna Degree
Maana yake nashangaa😀😀Ukitoa mimacho ivyo maana yake nini? Sema kama hujaelewa au kama wewe una namna nyingine uliyoelewa pengine mimi nakosea
Wazee wataweza kupiga kwata?Ni kukosa tu uelewa wa mambo na kujifanyia mambo kimazea, uhamiaji hata sio kazi ya kuhitaji manguvu sana, hata mzee wa miaka 50 anaifanya vizuri tu. Pia wangepewa watu wenye umri mkubwa ndio ingekuwa sahihi zaidi kwa sababu wana uzeofu wa kukutana na raia wa mataifa mbalimbali.
Miaka 27 mzee?Wazee wataweza kupiga kwata?
miaka 30 mwisho khalasMiaka 27 mzee?
Kwani kijana kw tanzania mwisho miaka mingapi?