Ni kweli inakera kuna Prof. mmoja alimuandikia barua Obama juu ya safari yake Afrika. Lakini kuna jamaa "copy" na kusaini eti kaandika yeye. HATARI TUPU
Wabongo mbona tunapenda copy and paste hiycho ni kikosi alitoa George Haghi alipohojiwa na FIFA
First eleven ambayo ningetamani kuiona uwanjani ikitandaza kandanda
1. Claudio taffarel
2. Jorghino
3. Franco baresi
4. Fernando hierro
5. Paolo maldini
6. Luis figo
7. Pep guardiola
8. Diego maradona
9. Zinedine zidane
10. Marco van basten
11. Ruud guillit
substitute kama kungekwapo na sababu ya kufanya hivyo
Peter schmeichel
Ferdnando redondo
Ronaldo de lima
Marcell dessaily
Claude Makelele
Patrick vieira
George weah
Eric cantona
Roberto baggio
Wabongo mbona tunapenda copy and paste hiycho ni kikosi alitoa George Haghi alipohojiwa na FIFA
Kaka Belo, nimeandika hivi Kikosi ambacho ningetamani kukiona uwanjani. Sijasema ni kikosi kutoka katika mpangilio wangu. Msiwe wa-rahisi kuhukumu bila kuwa na uhakika na malaumu yenu. Nafikiri kosa hapo ni kutoweka source tu. Ila ishu hapa mimi nimekipenda kikosi hiki na ningetamani sana kukiona.
Unazidi kuboa kwanini usiwe creative na wewe ama wajifanya george hagi hata kwenye fikra zake binafsi? Ungeeleweka kama ungeandika kikosi alichopendekeza george hagi ni nakikubali....acha kujaza longo longo hizi copy and paste zinatuumiza sana....