Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.com wametoa kikosi bora cha Man Utd kwa miaka 10 iliyopita (Muongo Mmoja) yaani 2009-2019.
Je unakubaliana nao? Yupi ameachwa na anastahili kuwepo kikosini
Je unakubaliana nao? Yupi ameachwa na anastahili kuwepo kikosini