Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mata awepo eti Paul Scholes akose!Paul Aaron Scholes amefanya kosa gani mpaka akasahaulika?
bangi hizi PAUL albino mbona hayupo?Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.com wametoa kikosi bora cha Man Utd kwa miaka 10 iliyopita (Muongo Mmoja) yaani 2009-2019.
Je unakubaliana nao? Yupi ameachwa na anastahili kuwepo kikosini
View attachment 1234312
Hao goal.com wazinguaji tuMata awepo eti Paul Scholes akose!
labida hicho kikosi cha PLAYSTATION TWOHaya matani sasa.
PS kabaki wapi?
umeambiwa kuanzia 2009-2019Paul Aaron Scholes amefanya kosa gani mpaka akasahaulika?
Toa Van Persie Weka Rashford,Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.com wametoa kikosi bora cha Man Utd kwa miaka 10 iliyopita (Muongo Mmoja) yaani 2009-2019.
Je unakubaliana nao? Yupi ameachwa na anastahili kuwepo kikosini
View attachment 1234312