Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Uefa wametangaza kikosi chao bora cha mashindano ya Euro kwa mwaka 2024 yaliyofanyika huko Ujerumani.
Kwa kikosi hiki, unakubaliana na Uefa? Kama hukubaliani nao, tuambie nani atoke, nani aiingie?
Kwa kikosi hiki, unakubaliana na Uefa? Kama hukubaliani nao, tuambie nani atoke, nani aiingie?