brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Leo kimetangwa kikosi Bora Cha Premier League kimetangazwa huku wachezaji 10 wakitoka kwenye timu 2 za man city na Liverpool
Pogba ndo mchezaji pekee alieingia kwenye kikosi hicho katika timi 18 zilizobaki
Ikumbukwe kikosi hichi huchanguliwa na wachezaji wenyewe wa EPL