Kwahiyo ww kila unaloambiwa tu hutumii akili yako binafsi?Timu imechaguliwa na wachezaji wenyewe wa EPL
Sasa wewe unajua zaidi ya wahusika
Leo kimetangwa kikosi Bora Cha Premier League kimetangazwa huku wachezaji 10 wakitoka kwenye timu 2 za man city na Liverpool
Pogba ndo mchezaji pekee alieingia kwenye kikosi hicho katika timi 18 zilizobaki
Ikumbukwe kikosi hichi huchanguliwa na wachezaji wenyewe wa EPLView attachment 1080572
Kura ndo zimekuzuzua sana eeeh? Marangapi hata barondooo huwa inaenda kwa wrong player? Hata kama nipo huku kijijini Tarime ila siyo bongo lala kama wewe uliye magogoniWachezaji zaidi ya 300 wamepiga kura wamemchangua wewe uko nanjilinji unapiga kelele hakustahili
Nenda kwenye takwimuPogba hizo game alikuwa anacheza chumbani? Kuna majembe yapo Wolves Pogba hata robo msimu huu hajawafikia
Hahaaa wewe jamaa unaligha ya kuudhi Sana.Kafungwa magoli 50 Hadi Sasa atakuwepo vipi
Kuna kitu kimoja vyombo vya habari na nyie mashabiki mnashindwa kuelewa.Salah chuma 19 assist 7 jumla katengeneza goli 26. Hayupo
Hazard chuma 16 assist 13 jumla katengeneza goli 29. Hayupo
Aguero chuma 19 assist 8 jumla katengeneza magoli 27 .Yupo
Mane chuma 18 assist 1 jumla katengeneza magoli 19. Yupo
Pogba chuma 13 assist 9 jumla katengeneza magoli 22.Yupo
sterling chumA 17 assist 10 jumla magoli katengeneza 27.Yupo
Niishie hapo kweli uchawi upo sterling ,Mane na pogba wanawazidi nini Salah na Hazard?