KIkosi bora cha week CAF Luis na Chama ndani

Mbobo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Posts
1,392
Reaction score
1,818
Wachezaji nyota wa simba Sc, Clatous chama na luis Miquisson wamechaguliwa kwenye kikosi bora cha week, kwa mujibu wa CAF

Hii ni mara ya tatu kwa luis kuingia kwenye kikosi icho bila shaka anaweza kuwa mchezaji bora wa mashindano haya.
 
Huyu Luis ni kama anaandaliwa kuwa Mchezaji bora wa mashindano. Chama kilichombeba ni yale magoli yake mawili na assist (Goli la nne linafaa kuwa goli bora la wiki).

Hongera kwao na kwa Club pia - Tena wameingia kwa alama nyingi 8.6 na kuwazidi hao wengine walioingia nao
 
Hakika,hii ni mara ya tatu sasa. Ameshakuwa mchezaji bora wa wiki na wiki iliyopita alishindanishwa kuwa mchezaji bora na wenzie watatu.

Ukikaona kenyewe hakana hata time. Kule insta kalikuwa kimya mpaka kina Manara wakamtaka awe anapost kuiuza timu
 
Kipa ana 8.7
 
Chama magoli na assist ndio kimembeba usisahau uwezo mkuu.
 
Hivi Simba wachezaji wenu wa kizawa mbona hatujawahi kuwaona kwenye kikosi hiki?
Tuna upungufu mkubwa sana wa quality ya player wa kibongo mkuu..

Msimu ujao tunamchukua NCHIMBI na MAKAPU wala usijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…