Kikosi bora cha wiki Africa, Thadeo Lwanga ni bora dimba la kati

Akiendelea mchezo wa nguvu nguvu na tackle za ajabu ajabu kuna red card yake mapema katika haya mashindano.
 
Akiendelea mchezo wa nguvu nguvu na tackle za ajabu ajabu kuna red card yake mapema katika haya mashindano.
T. Lwanga sio kiungo wa kwanza duniani kwa aina yake ya uchezaji, wapo wengi na wanasurvive tu. Siku refa akiona kuwa lwanga kazidisha ugumu na anastahili kadi basi atamwonyesha.

Vinginevyo maneno ya mashabiki wengine ni takataka maana hata sheria za soka hawazijui, wamejawa na mihemko tu.
 
Labda kama sio cha CAF mana mpaka sasa Al Ahly hajacheza ila kipa wao yupo kwenye kikosi chako
 
Kikosi Bora kinatolewa na Shirikisho lenyewe baada ya mechi zote za mzunguko wa kwanza wa makundi kuisha. Huyo kipa kaingiaje hapo wakati Al Ahly hajacheza mchezo wake? Na huo mchezo ni wa leo.
 
Akiendelea mchezo wa nguvu nguvu na tackle za ajabu ajabu kuna red card yake mapema katika haya mashindano.
Kaka kwa playing style ya Lwanga kupata kadi nyekundu ni kawaida, tazama mtu kama casemiro na fernandinho ndivyo Lwanga alivyo
 
Baadhi yao ni kama
Sergio busquet,
Blaise matuidi,
Fernandinho, na
Casemiro
 
Akiendelea mchezo wa nguvu nguvu na tackle za ajabu ajabu kuna red card yake mapema katika haya mashindano.
Yule anaitwa Tactical midfielder na moja ya kazi zake ni kusababisha tactical fouls inapotokea hatari.Na hizi fouls anatakiwa azifanye kabla mtu hajaingia kwa box.Zile faulu zake nyingi Ni za kupanga si za bahati mbaya.
 
Akikutana na wahuni wa jangwani atapigwa sub first half tu km Larry Bwalya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…