Kikosi cha angani cha Urusi kimeishiwa, wamebaki kutazama mapambano kwenye TV

We jamaa kiboko aisee vita ikiisha Ukraine itabidi wakupe nishani.
 
Nimeanza
kuamini kwamba wataalamu wa viwanda vita kule russhia wengi ni Wayahudi
 
hivi kile kikosi cha nyuklia kilcho kua katika hali ya tahadhari kimepatwa na masaibu gani sjui.
mda wa kutumia nukes si ndo huuu au??

ama kweli.
siafu angatae PUMBU hapigwi kofi kubwa.

We jamaaa wewe [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji28] eti siafu nini ! [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…