Kikosi cha askari Katoro, Geita kinapita kinatangaza wafanyabishara wafungue maduka hakuna yeyote atakaewazulu wakifungua

Kikosi cha askari Katoro, Geita kinapita kinatangaza wafanyabishara wafungue maduka hakuna yeyote atakaewazulu wakifungua

KIKOSI CHA ASKARI KATORO-GEITA kinapita kinatangaza wafanyabishara wafungue Maduka hakuna yeyote atakaewazuru wakifungua

Kwa taarifa zilizopo Leo tarehe 26/6/2024 wafanyabishara wa Katoro mkoani Geita wameungana na wenzao mikoa mingine kufunga Maduka .

Askari wanalazimisha wafungue Maduka wafanyabishara

Hao polisi, wana shida kichwani. Kwani hao wafanyabiashara waliofunga maduka, wamewaambia wamefunga kwa sababu wanaogopa kudhuriwa!!
 
Back
Top Bottom