Kikosi cha kwanza simba hiki hapa

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Manula

Aly shomary mwanjali Mbonde zimbwer jr

Mkude kotei niyonzima

Okwi Nikolas gyan, mavugo



Benchi: nduda, kipombe, mlipili, mwambeleko, kichuya, boko, mo ibrahim, ndemla, murshid
 
Kwa kikosi hicho na foward ya Ajibu,Ngoma,Tambwe na Chirwa lazima waunganishwe tena kifurushi cha wiki
 
Watu hamjui hata maana ya kikosi cha kwanza! Nyie ndo wale mashabiki mnaopiga marefa!
Unaelewa maana ya kikosi cha kwanza?
Ipo tofauti kubwa kati ya kikosi cha kwanza cha timu na ulichokisema wewe hapo ambacho kitaalamu ni first eleven! Badilisha heading!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…