Kikosi cha RSF Sudan chaiteka Ikulu ya Rais

HERY HERNHO

Senior Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
110
Reaction score
458
Katika taarifa yake iliyotolewa Jumamosi, RSF imesema imechukua pia udhibiti wa viwanja vingine viwili vya ndege, kwenye mji wa kaskazini wa Merowe na mji wa El-Obeid ulioko upande wa kusini mwa nchi.

Tarifa hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imechukuliwa katika kujibu mashambulizi yanayofanywa na jeshi dhidi ya kambi za RSF kusini mwa mji mkuu, Khartoum.

Awali kikosi cha RSF kinachoongozwa na Jenerali Mohamed Hamdan Dagalo, anayefahamika zaidi kwa jina la Hemedti, kilisema kuwa jeshi lilizingira moja ya kambi zake na kufyatua risasi kwa kutumia silaha za kivita.
Wakati huo huo, vyama vya kiraia vya Sudan ambavyo vimesaini makubaliano ya awali ya kugawana madaraka na jeshi la nchi hiyo pamoja na kikosi cha RSF vimetoa wito wa kusitishwa kwa mapigano yaliyozuka baina ya vikosi hivyo viwili.

Kwa mujibu wa vyama hivyo pia vimetoa wito kwa wadau wa kimataifa na kikanda kuchukua hatua haraka kuzuia umwagaji damu.
 
Ikulu haijatweka bado kuna mapigano. Taarifa za RSF zina mchanganyiko wa propaganda kwa mbali kufanya demoralisation ya government troops. Alafu nimeona Sudan wana jeshi matako kabisa hakuna sehemu wanapigana wanashinda kila kwenye confrontation either watoke sare au washindwe. Kinachowabeba ni Airforce nimeona Mig-29 zinaruka angani. Wanaonekana wako disorganized.

Hao RSF wamepiga uwanja wa ndege Khartoum na kuharibu ndege mbili moja ya Saudi Arabia nyingine ya wao Sudan. Control ya airport inasemekana imerudi mikononi mwa serikali, kuna muda watu kwenye terminal waliwekwa chini ya ulinzi wakalala chini.
Jeshi la serikali limeshambulia HQ zao mjini Khartoum ambako clashes naona zimeanza leo sio jana. Vicinity ya television ya taifa, redio na bunge kuna presence ya jeshi ila mapigano hayakuwepo. Kuna airbase imetekwa na waasi.

Hao RSF (ni kama modified Janjaweed) walishirikiana na jeshi kuipindua serikali ya kiraia iliyokuwa na muelekeo mzuri sana na yule Waziri Mkuu wao nilikuwa namkubali mno. Badala yake hawa vilaza wote jeshi na RSF hawaelewani na wanagombea nafasi za juu na transition hawajafanya kwenye vyombo vya ulinzi. Ndio maana sijawahi amini serikali ya kijeshi
 
Kumekucha
 
Mashambulizi yanayoendelea ikulu
20230415_155014.png
 
We will not stop fighting until we capture all the army bases and the honourable members of the armed forces join us,"
Mohamed Hamdan Daglo (Jenerali, Mkuu wa RSF) told Al Jazeera. Huyu kijeshi ni more competent kuliko majenerali wa kisiasa wale, ila wote hamnazo na hawana faida kwa nchi. Ukiondoa jeshi na waasi Sudan inapata unafuu mkubwa
20230415_155321.jpg
 
We will not stop fighting until we capture all the army bases and the honourable members of the armed forces join us,"
Mohamed Hamdan Daglo (Jenerali, Mkuu wa RSF) told Al Jazeera. Huyu kijeshi ni more competent kuliko majenerali wa kisiasa wale, ila wote hamnazo na hawana faida kwa nchi. Ukiondoa jeshi na waasi Sudan inapata unafuu mkubwaView attachment 2588663
Huyu hata shule hakwenda,ukiangalia alivyoandaliwa Hadi kufika hapo inashangaza, Tanzania ni taifa lineundwa vizuri sana
 
Huyu hakuandaliwa
Amefika hapo kwa mtutu
Umesoma historia yake au unachangia tu

Huyu ana asili ya Chad na mtu wa Darfur ndio wale Janjaweed hawa na yeye ndio commander wao waliteka na kuuwa sana huko darfur na kuchimba dhahabu sana
Huyu jamaa ni tajiri sana na ndio waliomuondoa Omar Al Bashir kwenye kiti cha Uraisi

Huyu ana ushirika na Russia pamoja na Saudia
Aliwasaidia na kupeleka majeshi yake Yemen

Acha nikumbuke mengine maana jeshi liko kwenye damu [emoji1] [emoji1787]
 
Ikulu haijatweka bado kuna mapigano. Taarifa za RSF zina mchanganyiko wa propaganda kwa mbali kufanya demoralisation ya government troops. Alafu nimeona Sudan wana jeshi matako kabisa hakuna sehemu wanapigana wanashinda kila kwenye confrontation either watoke sare au washindwe. Kinachowabeba ni Airforce nimeona Mig-29 zinaruka angani. Wanaonekana wako disorganized.

Hao RSF wamepiga uwanja wa ndege Khartoum na kuharibu ndege mbili moja ya Saudi Arabia nyingine ya wao Sudan. Control ya airport inasemekana imerudi mikononi mwa serikali, kuna muda watu kwenye terminal waliwekwa chini ya ulinzi wakalala chini.
Jeshi la serikali limeshambulia HQ zao mjini Khartoum ambako clashes naona zimeanza leo sio jana. Vicinity ya television ya taifa, redio na bunge kuna presence ya jeshi ila mapigano hayakuwepo. Kuna airbase imetekwa na waasi.

Hao RSF (ni kama modified Janjaweed) walishirikiana na jeshi kuipindua serikali ya kiraia iliyokuwa na muelekeo mzuri sana na yule Waziri Mkuu wao nilikuwa namkubali mno. Badala yake hawa vilaza wote jeshi na RSF hawaelewani na wanagombea nafasi za juu na transition hawajafanya kwenye vyombo vya ulinzi. Ndio maana sijawahi amini serikali ya kijeshi
ndugu kwa mujibu wa vyombo vyote ulimwenguni ni kwamba ikulu ya sudani na uwanja wa ndege khartum umetekwa... labda chanel yako tu ndo haikubaliani na hili.
 
Kwa akili ya kawaida kabisa haya ni mapigano yanayoendelea. Nimetoa comment saa tisa na umereply saa tatu. Huo ni muda tosha kufanya lolote likabadilika
ndugu kwa mujibu wa vyombo vyote ulimwenguni ni kwamba ikulu ya sudani na uwanja wa ndege khartum umetekwa... labda chanel yako tu ndo haikubaliani na hili.
 
Hao RSF (ni kama modified Janjaweed) walishirikiana na jeshi kuipindua serikali ya kiraia iliyokuwa na muelekeo mzuri sana na yule Waziri Mkuu wao nilikuwa namkubali mno. Badala yake hawa vilaza wote jeshi na RSF hawaelewani na wanagombea nafasi za juu na transition hawajafanya kwenye vyombo vya ulinzi. Ndio maana sijawahi amini serikali ya kijeshi
Hao RSF waliundwa na intelligence ya Sudan ili wapambane na waasi wa Darfur (wao ni paramilitary tu).....imekuwaje wana nguvu mpaka kupambana na jeshi la serikali ?.....huko Darfur jeshi la Sudan lilishindwa ?

Ina maana Sudan sasa ina majeshi mawili yanayoendesha serikali ?
 
RSF ina wapiganaji zaidi ya 10,000 inavyosemekana na wengi tu kati yao ni wanajeshi wa Sudan waliobadilisha upande. Kwa mwananchi serious wa Sudan, viongozi wa jeshi na wa RSF wote ni wahuni tu hakuna mwenye unafuu. Wala ugomvi wao sio kwa maslahi ya taifa ni ulaji.

Na ukiona waasi wana wapiganaji idadi kama 20% ya jeshi husika ujue ni matatizo. Under normal circumstances waasi huwa na motivation kuliko jeshi na wakati huo waasi hawana haja ya kukamata nchi nzima, ni kama miji mitatu muhimu basi wakati jeshi linabidi liwe kila mpaka.
 
Huyu hakuandaliwa
Amefika hapo kwa mtutu
Umesoma historia yake au unachangia tu

Huyu ana asili ya Chad na mtu wa Darfur ndio wale Janjaweed hawa na yeye ndio commander wao waliteka na kuuwa sana huko darfur na kuchimba dhahabu sana
Huyu jamaa ni tajiri sana na ndio waliomuondoa Omar Al Bashir kwenye kiti cha Uraisi

Huyu ana ushirika na Russia pamoja na Saudia
Aliwasaidia na kupeleka majeshi yake Yemen

Acha nikumbuke mengine maana jeshi liko kwenye damu [emoji1] [emoji1787]
Janjaweed iliundwa na Bashir kwa shughuli ya darfur,huyu mwamba hakujua chochote kuhusu jeshi,walikusanywa tu wakawa wanafanya vurugu na silaha,shughuli ya darfur ilipoisha kaendelea mpaka huku
 
Huyu ndio Commender wao sasa utasemaje alichukuliwa tu
Screenshot_20230416_104637_Chrome.jpg
 
Kumbe ndio maana ile ndege ilikwepa anga la Sudan?
Katika taarifa yake iliyotolewa Jumamosi, RSF imesema imechukua pia udhibiti wa viwanja vingine viwili vya ndege, kwenye mji wa kaskazini wa Merowe na mji wa El-Obeid ulioko upande wa kusini mwa nchi.

Tarifa hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imechukuliwa katika kujibu mashambulizi yanayofanywa na jeshi dhidi ya kambi za RSF kusini mwa mji mkuu, Khartoum.

Awali kikosi cha RSF kinachoongozwa na Jenerali Mohamed Hamdan Dagalo, anayefahamika zaidi kwa jina la Hemedti, kilisema kuwa jeshi lilizingira moja ya kambi zake na kufyatua risasi kwa kutumia silaha za kivita.
Wakati huo huo, vyama vya kiraia vya Sudan ambavyo vimesaini makubaliano ya awali ya kugawana madaraka na jeshi la nchi hiyo pamoja na kikosi cha RSF vimetoa wito wa kusitishwa kwa mapigano yaliyozuka baina ya vikosi hivyo viwili.

Kwa mujibu wa vyama hivyo pia vimetoa wito kwa wadau wa kimataifa na kikanda kuchukua hatua haraka kuzuia umwagaji da
 
Huyu ndio Commender wao sasa utasemaje alichukuliwa tu View attachment 2589716
Kwa nini unaleta ushindani!?..dogolo kaishia darasa la tatu,hata huyo kamanda nafikiri ni mjomba au babaake mkubwa/mdogo,albashir aliona awatumie kwenye mbilinge zake darfur..wewe labda umemjua dogolo Jana,sisi ambao tukipata Milo yetu huenda sambamba na habari kwenye runinga dogolo si mgeni kwetu
 
It seems jeshi la Sudan limepata momentum liko linatembeza kichapo kwa waasi. Mambo bado magumu na raia kadhaa wamefariki na ikulu iko mikononi mwa waasi
 
Back
Top Bottom