MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
RIP Mafisango....Mwenye kujua walipo wachezaji wa Simba 2012 walioifunga Yanga 5 - 0 ashushe data hapa kwa heshima ya hawa Legends walioipa Yanga adhabu isiyovumilika.
Wapo wapi na wanafanya nini kwa sasa?
Umeupiga mwingi sanaGolini: Juma K Juma, sasa ni kocha wa Magolikipa Stars
Mtani tulimtandika Mkono, mpaka Golikipa alifunga. Dharau kabisa.
Hiyo central defender ya Simba ilikuwa motoGolini: Juma K Juma, sasa ni kocha wa Magolikipa Stars
Mbavu ya kulia: Nassoro Chollo, mara ya mwisho alikuwa Stand United
Mbavu ya kushoto: Omar Maftah atakuwa kwao huko.
Beki kati: Baba Esta (Kapombe), yupo Simba bado
:Kelvin Yondani, yupo Geita Gold
Kiungo Mkabaji: Patrick Mafisango (RIP), ameshageuka mbolea.
Winga wa Kulia: Uhuru Suleiman, sijui alipo.
Winga wa kushoto: Emanuel Okwi, yupo Al Ittihad
Kiungo mchezeshaji: Mwinyi Kazimoto, sijamsikia hivi karibuni.
Kiungo Mshambuliaji: Haruna Moshi Boban, naye sifahamu alipo. Itakuwa kastaafu.
Mshambuliaji: Sunzu Felix, alienda kwao Zambia. Sijui timu gani.
Mtani tulimtandika Mkono, mpaka Golikipa alifunga. Dharau kabisa.
Huyu kapombe sahivi naambiwa nimemzidi umri.Golini: Juma K Juma, sasa ni kocha wa Magolikipa Stars
Mbavu ya kulia: Nassoro Chollo, mara ya mwisho alikuwa Stand United
Mbavu ya kushoto: Omar Maftah atakuwa kwao huko.
Beki kati: Baba Esta (Kapombe), yupo Simba bado
:Kelvin Yondani, yupo Geita Gold
Kiungo Mkabaji: Patrick Mafisango (RIP), ameshageuka mbolea.
Winga wa Kulia: Uhuru Suleiman, sijui alipo.
Winga wa kushoto: Emanuel Okwi, yupo Al Ittihad
Kiungo mchezeshaji: Mwinyi Kazimoto, sijamsikia hivi karibuni.
Kiungo Mshambuliaji: Haruna Moshi Boban, naye sifahamu alipo. Itakuwa kastaafu.
Mshambuliaji: Sunzu Felix, alienda kwao Zambia. Sijui timu gani.
Mtani tulimtandika Mkono, mpaka Golikipa alifunga. Dharau kabisa.
2012 alikuwa na miaka 19Huyu kapombe sahivi naambiwa nimemzidi umri.
Na pesa za rambirambi tulikula, yaani sisi Simba tumelaaniwa!RIP Mafisango....