Kikosi cha Simba cha msimu 2023/24 ni kile kile cha msimu 2022/23

Kikosi cha Simba cha msimu 2023/24 ni kile kile cha msimu 2022/23

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Naona mashabiki wa Simba wanapanga vikosi vyao...vya msimu ujao...huku wakilitupa jina la KENNEDY JUMA, MZAMIRU YASIN, SAIDOO, KIBU, JOHN BOCCO.

Nawaambia watakaoingia kikosi cha kwanza katika sajili zenu mpya ni either KRAMOO AU MIQUESON(Nae ni hatihati)

Nimekaa pale.
 
Simba msimu uliopita haikuwa na first 11 mbaya, rekodi za ligi ya ndani na kimataifa zinadhihirisha hilo. Kilichofanyika ni kuimarisha benchi ili wachezaji mbadala wawe wa viwango.
 
kile kikosi cha 2022/2023 kilikua kibaya?,si ndicho kilichowapasua mbili bila kwa Mkapa?,Saidoo ni mfungaji bora,KIBU alitaka kumuua Diara kwa makusudi pale Lupaso😂😅
 
Back
Top Bottom