Simba msimu uliopita haikuwa na first 11 mbaya, rekodi za ligi ya ndani na kimataifa zinadhihirisha hilo. Kilichofanyika ni kuimarisha benchi ili wachezaji mbadala wawe wa viwango.
kile kikosi cha 2022/2023 kilikua kibaya?,si ndicho kilichowapasua mbili bila kwa Mkapa?,Saidoo ni mfungaji bora,KIBU alitaka kumuua Diara kwa makusudi pale Lupaso😂😅