Kikosi cha Simba kinachoanza na mtibwa leo.

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
1,625
Reaction score
1,326
65bbd780df4b69e6e8a12d2d08e396bf.jpg
1. Aishi manula 2. Ally shomari 3. Erasto nyoni 4. Salim mbonde 5. Methord mwanjari 6. Jonas mkude 7. Shiza kichuya 8. James kotei 9. John bocco 10. Emmanuel Okwi 11. Haruna niyonzima. Wachezaji wa Akiba 1. Emmanuel mseja 2. Juko murshidi 3 Said hamis ndemla 4. Juma luzio 5. Mohamed hussein 6. Mzamiru yassin 7. Nicholaus gyan. Nawaombea kila la kheri kwenye mechi ya leo, Mwenyezi mungu awabariki muweze kupata, Ushindi mnono Simba nguvu moja.
 
Tshabalala na Ndemla ndio basi tena! Simba wameamua kuwatumia wahenga Erasto na Haruna! Kama wanajielewa bora wasepe tu! Naamini leo Mtibwa watafanya kweli!
 
Huyu dogo Tshabalala hajawa fit kwa match ngumu mwacheni apone vizuri..

Kuhusu Ndemla ni mipango ya kochi,Ila mie napenda akianzia benchi huwa na impact kubwa...

kila la heri Simba
Nguvu moja
 
Mechi bado nyingi saba watacheza tu huoni mkude kaanza kupata nafasi
Dua la kuku hilo mkuu mtibwa anakula tatu
 
Sawa! ila kwa uwezo wa Ndemla si wa kuanzia benchi! Hakuna mchezaji mwenye uwezo na kipaji kama chake anayefurahia kuanzia benchi! Mwacheni akatafute maisha kwingine kama mlivyofanya kwa yule mtoto wa Manyika!
 
Mechi bado nyingi saba watacheza tu huoni mkude kaanza kupata nafasi
Dua la kuku hilo mkuu mtibwa anakula tatu
Nafasi ya Mkude ni finyu kudumu kikosi cha kwanza! Omogi anamuamini sana Kotei! Mungu ibariki Mtibwa
 
Back
Top Bottom