Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Insha'allah.Mtibwa watakaa tu hawa bao 2 zinawatosha
Huyu dogo Tshabalala hajawa fit kwa match ngumu mwacheni apone vizuri..Tshabalala na Ndemla ndio basi tena! Simba wameamua kuwatumia wahenga Erasto na Haruna! Kama wanajielewa bora wasepe tu! Naamini leo Mtibwa watafanya kweli!
Mechi bado nyingi saba watacheza tu huoni mkude kaanza kupata nafasiTshabalala na Ndemla ndio basi tena! Simba wameamua kuwatumia wahenga Erasto na Haruna! Kama wanajielewa bora wasepe tu! Naamini leo Mtibwa watafanya kweli!
Sawa! ila kwa uwezo wa Ndemla si wa kuanzia benchi! Hakuna mchezaji mwenye uwezo na kipaji kama chake anayefurahia kuanzia benchi! Mwacheni akatafute maisha kwingine kama mlivyofanya kwa yule mtoto wa Manyika!Huyu dogo Tshabalala hajawa fit kwa match ngumu mwacheni apone vizuri..
Kuhusu Ndemla ni mipango ya kochi,Ila mie napenda akianzia benchi huwa na impact kubwa...
kila la heri Simba
Nguvu moja
Nafasi ya Mkude ni finyu kudumu kikosi cha kwanza! Omogi anamuamini sana Kotei! Mungu ibariki MtibwaMechi bado nyingi saba watacheza tu huoni mkude kaanza kupata nafasi
Dua la kuku hilo mkuu mtibwa anakula tatu
Naambatana na wewe kuhamia mtibwa kwa mkopoNaiombea timu yangu ya mtibwa ushindi wa kishindo
Karibu sana,mtibwa leo tunampiga mtu 1 tu,tutawafunga mikia ili wafalme wa soka bongo watukaribie na hatimae wachukue tena kombe kwa mara ya 4Naambatana na wewe kuhamia mtibwa kwa mkopo
Wadau mliopo taifa tunaomba mtujuze matokeo hukoMtibwa watakaa tu hawa bao 2 zinawatosha
Matokeo yakoje?
Bi Hindu fc kaishakojolewa kimojaJamani tunaomba matokeo mpaka sasa.