Kikosi cha Simba kinachoanza na mtibwa leo.

Huyu OKWI aliwahi kumtembeza shadrack nsajigwa fuso kama nyani, yaani alirudishwa kipindi Cha stone Age kutembea kwa Miguu 4!
 
Simba nilidhani wako vizuri zaidi ya Yanga kumbe nao ni yale yale.TFF-Jana nilikuwa uwanja wa Kaitaba Bukoba.Yale majukwaa yote ni HAZARD.Please do something.Yanatakiwa.kubomolewa yote na kujengwa mapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…