Kikosi cha simba msimu ujao, endapo sajili zitakamilika

Hakuna kitu kinaninyima Usingizi kama kuletewa Golikipa wa kufika tu na kumweka langoni. Tutakuja kustuka gemu 4 za mwanzo tumeliwa na tumepoteza dira.
Viongozi wangu wa Simba tusiwaamini sana Makocha wa leo maana wengine ni Mawakala/Madalali wa wachezaji tunaweza kupigwa vibaya kama yale ya DEJAN
 
Kusajiri wachezaji wa kimataifa ili wawe wako benchi kusubiri substitution ni matumizi mabaya ya raslimali.
Hapana mkuu,mwalimu hwezi kumuingiza tu mchezaji mgeni kwenye mfumo wake bila kumuangalia kwa ukaribu mazoezini,kazima asugue kwanza benchi
 
Aah wee huyo mbrazil anajua wee,sasa unataka kusema ally salim atamweka benchi huyo jamaa???thubutuu
 
Kusajiri wachezaji wa kimataifa ili wawe wako benchi kusubiri substitution ni matumizi mabaya ya raslimali.
Nimeshangaa eti Ngoma anaanzia sub! Yaani mchezaji aliyetekwa ndani ya ndege na kudainishwa mkataba kibabe, halafu anaanzia tena nje!! Kulikuwa kuna umuhimu gani sasa wa kutumia nguvu zote hizo!!
 
Nimeshangaa eti Ngoma anaanzia sub! Yaani mchezaji aliyetekwa ndani ya ndege na kudainishwa mkataba kibabe, halafu anaanzia tena nje!! Kulikuwa kuna umuhimu gani sasa wa kutumia nguvu zote hizo!!
Sasa kwani ni lazima aanze,?halafu huo mkataba wa kibabe sjui kama uliwaona mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…