Kikosi cha Taifa Stars CHAN na AFCON chatajwa

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu bila shaka una jokes hapa
Ujumbe uko wazi, hao ndio wanatesa Bongo maana yake hatuna wachezaji, hili ndilo linawagharimu England miaka yote.
 
Kwani wakati samatta ana kadi mbili za njano mechi zidi ya lesotho ukuona chilunda alivyocheza au unajitoa ufahamu?
Naelewa lakini AFCON inahitaji match fitness na si kingine.

Alafu kule inaenda kucheza na Algeria, Senegal na Kenya unadhani nini kitatokea?

Kenya ndio timu pekee yenye defence bora afrika nzima kwenye michezo iliyochezwa ya kufuzu na wana nguvu na kasi mzee ni hatari inakuja
 
Ujumbe uko wazi, hao ndio wanatesa Bongo maana yake hatuna wachezaji, hili ndilo linawagharimu England miaka yote.
Hapo sawa mkuu. Bongo mpira bado sana
 
Huyu Kocha anaipendelea Simba. Itakuwaje zaidi ya robo ya wachezaji watoke SIMBA. Alisikika popoyo mmoja kutoka mitaa ya jangwani.Ukizoea kulalamika unaweza kulalamika kwanini kesho ni Alhamisi kwanini isiwe Ijumaa. Na kudai Ijumaa inaonewa na Alhamisi inapendelewa.
Mapoyoyo wamefikia level hiyo sasa.
 
Hahahaaa goli 4 za kufikia tu tena mechi ya kwanza Himid mao, Yahya zaid, Shaban chilunda, Abdi banda, Shiza kichuya, Thomas ulimwengu, na Farid musa ni WAKAA BENCHI WAKUBWA SASA SIJUI WANAKUJA KUFANYA NINI.
Kabisa hawa hawakutakiwa kuitwa kabisa
 
Jamani mimi ni shabiki wa mpira, vitu technical sijui....naomba kuuliza..Rashidi Juma na Paul Godfrey watakua na tatizo gani technically mpala bench la ufundi la Taifa stars haliwaoni?
 
Kigezo gani kilichotumika kuipa Kenya hiyo sifa?
 
Timu haijaruhusu magoli mengi kama timu zingine zooote mpaka inafuzu, CAF wameipa sifa kama Timu yenye safu bora ya ulinzi
Oky.. waliruhusu goli ngapi? Halafu kundi la Kenya lilikua na mechi chache kuliko makundi mengine. Uganda na wenyewe walikua hawajafungwa ata goli moja mpaka walipo fika kwa Mkapa.
 
Oky.. waliruhusu goli ngapi? Halafu kundi la Kenya lilikua na mechi chache kuliko makundi mengine. Uganda na wenyewe walikua hawajafungwa ata goli moja mpaka walipo fika kwa Mkapa.
Ni kweli kenya kacheza mechi chache kwa takwimu zaidi nenda Google
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…