Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Sasa mbona hujaiweka wewe nyenyere?Orodha kamili imeshatolewa muda mfupi uliopita na Shirikisho la Soka Tanzania ( TFF)
Maandalizi ya mechi dhidi ya DRC
Hivi hapa duniani kulishawahi kuwa na Mchezaji aitwae Lidondo? Hivi yule Kiungo Fundi wa Hispania Redondo siku hizi yuko wapi?Orodha kamili imeshatolewa muda mfupi uliopita na Shirikisho la Soka Tanzania ( TFF)
Maandalizi za mechi
za kufuzu Fainali za Kombe bill Dunia dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( DRC) na Madagascar
Sura mpya Ramadhi Chombo Lidondo (Super Midfielder)
Wadau karibuni mtoe maoni
Lidondo anacheza timu gani mkuu maana sijawahi kumsikia huyu mchezajiOrodha kamili imeshatolewa muda mfupi uliopita na Shirikisho la Soka Tanzania ( TFF)
Maandalizi za mechi
za kufuzu Fainali za Kombe bill Dunia dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ( DRC) na Madagascar
Sura mpya Ramadhi Chombo Lidondo (Super Midfielder)
Wadau karibuni mtoe maoni
huenda anamaanisha redondo, jina la utani sifa la mchezaji huyoHivi hapa duniani kulishawahi kuwa na Mchezaji aitwae Lidondo? Hivi yule Kiungo Fundi wa Hispania Redondo siku hizi yuko wapi?
Na fundi mwenzake Gazieka Mendieta.Hivi hapa duniani kulishawahi kuwa na Mchezaji aitwae Lidondo? Hivi yule Kiungo Fundi wa Hispania Redondo siku hizi yuko wapi?