KIKOSI CHA TAIFA STARS

KIKOSI CHA TAIFA STARS

huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
1,520
Reaction score
1,462
Habarini wanajamvi.....

Leo ni mechi kubwa ya kufuzu Afcon 2019,kati ya Tanzania Vs Uganda,na Cape Verde Vs Lesotho...

Hizi timu zote isipokuwa Uganda ambao tayari wameshafuzu,zinapambana ili zifuzu Afcon 2019,Tanzania tunapambana ili tufuzu,Lesotho nao pia wanapambana ili wafuzu,na Cape Verde pia nao wanapambana mambo ni moto kote note..

Kumbukumbu zinaonesha Tanzania ilifuzu Afcon kwa Mara ya mwisho ni 1979/1980 tangu miaka hiyo hadi sasa takriban miaka 40 Tanzania haikuwahi kufuzu tena,

Kwanini? Je hatuna mipango? Je kuna figusu kama iliyopo kwenye ligi daraja la kwanza hapa Tanzania??

Tanzania tutafuzu endapo Lesotho watapoteza mbele ya cape Verde na tukiwafunga Uganda,sasa hii kumwombea mwenzako njaa ili hali wewe hujashiba ni kutwanga maji kwenye kinu....

Let's wait and see......

Lakini Kwanini hatukuweza kufuzu miaka yote hayo? tulikuwa tunakwama WAP?

Kujenga timu na ikawa timu bora siyo kazi ya lele mama,Simba pale ilipofikia kazi kubwa imefanyika,weka huyu mchezaji,toa huyu weka huyu pangua pangua hadi kikapatika kikosi imara/bora hadi unaambiwa waje Barcelona,waje Real Madrid hapa kwa mchina watafungwa tu,

Kikosi cha Taifa stars kuwa kambini kwa wiki moja tu hakisaidii chochote,uchezaji wa Mbwana Samatta ni tofauti kabisa na namna anavyocheza Gadiel Mayco,Yondan,Nyoni sins uhakika kama watakuwa wanatoa pasi za uhakika "accuracy pas"kwa huyu Mbwana Samatta,

Kwanini hawa vijana wa Serengeti Boys wasiwe wachezaji wa Taifa Stars moja kwa moja,kwann serikali isiwaajiri hawa vijana directly wakaingizwa kwenye payroll kuichezea Taifa lao?

Na wasiajiriwe na Club yeyote hapa Nchini? Kazi yao ikawa hiyo tu ya kuchezea Taifa?

Tukifanya hivi hakika tutafuzu kila mwaka na hadi finally tutafika,,

Lakini kwa blabla za namna hii hatutafika popote...

Tutafakari upya....

Nawasilisha.......
 
Nusu bei imeanza kufanya kazi

Sent from my EVA-L09 using Tapatalk
 
kwani na wewe ni wa kol mi jei?

maana unawaza kama jiwe la pale feri.
 
Huwezi kulianzisha kwa sababu hata ulipoambiwa 2 x 2 ni 4 ylikubali na ukaambiwa mungu alileta gharika akawaua viumbe wote ulikubali

Lakini hukuhoji ya kwamba je nyangumi na papa na sangara sato walikuga?
Sawa sisi Tanzania hatuwezi kulianzisha?

Tukawa Nchi ya kwanza kuwa na mfumo huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom