Kikosi cha ushindi dhidi ya Hamisa Mobetto FC hiyo Tarehe 8

Kikosi cha ushindi dhidi ya Hamisa Mobetto FC hiyo Tarehe 8

1722863272500.jpg
kazi ipo....
 
Hamisa...! Ametokea Wapi huyu mchuchu..?
Dodoma ? Au Mpwapwa..?
Ni Mkagulu au....?

Dah, Nimemkumbuka Remmy Ongala..!

Nyie Hamuogopi Ubaya Ubwela..?
 
Hamisa...! Ametokea Wapi huyu mchuchu..?
Dodoma ? Au Mpwapwa..?
Ni Mkagulu au....?

Dah, Nimemkumbuka Remmy Ongala..!

Nyie Hamuogopi Ubaya Ubwela..?

Hahahah.. Sinza kwa Remmy, Remmy ni nani?

Ila aliimba juu Ya Hamisa

'Kila nikifikiria nikuhamishie dasalama...Hamisa naogopa'..!

Dasalama tunaishi nyumba za Kupanga...! Dasalama kuna VITUKO.!
 
Nashangaa Simba wamemsajiri Beki 3 wakati Shabalala Bado yuko vizuri.
Bora wangesajiri Beki 2 wa kigeni.
 
1.Camara
2.Kijili
3.Tshabalala
4.Chamou
5.Che Malone
6.Okejepha
7.Mutale
8.Fernandez Mavamba
9.Mukwala
10.Ahou
11.Edwin Balua
 
Back
Top Bottom