ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Habarini za Jumapili, Leo hatuna mambo mengi, nakuja na kikosi ch Yanga ambacho kitaanza na mechi dhidi ya Simba makolo, kikosi hili kitaleta madhara Kwa watu wengi sana, kuanzia Kwa Uongozi wa Simba, Mwenye timu(M0), Waziri Mkuu, Washabiki, pamoja na msemaji Ahmed.
Natabiri mechi hii kumalizika Kwa 4-1 Kwa Simba kufungwa na hatimaye Kocha Fadlu kufukuzwa, na tutakuwa na malalamiko mengi ya kuwa hatuwataki viongozi
Natabiri mechi hii kumalizika Kwa 4-1 Kwa Simba kufungwa na hatimaye Kocha Fadlu kufukuzwa, na tutakuwa na malalamiko mengi ya kuwa hatuwataki viongozi