ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
We c mods ,rekebisha basi, ni kikosi chaHeading yenyewe haieleweki
Weka mbali na watoto.Habarini za Jumapili, Leo hatuna mambo mengi, nakuja na kikosi ch Yanga ambacho kitaanza na mechi dhidi ya Simba makolo, kikosi hili kitaleta madhara Kwa watu wengi sana, kuanzia Kwa Uongozi wa Simba, Mwenye timu(M0), Waziri Mkuu, Washabiki, pamoja na msemaji Ahmed.
View attachment 3255546
Natabiri mechi hii kumalizika Kwa 4-1 Kwa Simba kufungwa na hatimaye Kocha Fadlu kufukuzwa, na tutakuwa na malalamiko mengi ya kuwa hatuwataki viongozi
Usifikiri ngedere hataki au hapendi chai, chai anaipenda SEMA Sasa akifikiria kuwa sufuria atapata wapi, sukari atapata wapi, majani atapata wapi, jiko na moto atauwashaje basi kutokana na magumu hayo ngedere anaamua kwenda kula mahindi mabichhi shambani " MSEMO WA MZARAMO SHABIKI WA SIMBA"Pole sana Mkuu.
Ukiwahi kinapona, utapona mkuu #
Unaonekana haufatiliagi mechi za Yanga, mara ya mwisho kumuona Atoula uwanjani ni lini? Atoula hata kama atakuwa mzima ila hatakiwi kupangwa mechi ya tarehe 8 kwasababu hana match fitness.Habarini za Jumapili, Leo hatuna mambo mengi, nakuja na kikosi ch Yanga ambacho kitaanza na mechi dhidi ya Simba makolo, kikosi hili kitaleta madhara Kwa watu wengi sana, kuanzia Kwa Uongozi wa Simba, Mwenye timu(M0), Waziri Mkuu, Washabiki, pamoja na msemaji Ahmed.
View attachment 3255546
Natabiri mechi hii kumalizika Kwa 4-1 Kwa Simba kufungwa na hatimaye Kocha Fadlu kufukuzwa, na tutakuwa na malalamiko mengi ya kuwa hatuwataki viongozi
Not suicidal ni homicidal Kwa Simba, mudathir kiwango kimeshua, so acheE max na auchoHio midfield ni nyeupe mno, hakuna kocha anaweza kupanga kikosi hicho tena kwenye derby kama hio, that's a suicidal selection!!!
Wewe mkata ufuta wa hapa jf huwezi jua madhara ya Kibu Mkandaji . Aisifuye mvua imemnyea .Madhara ya Kibu anayajua Diara.Unaonekana haufatiliagi mechi za Yanga, mara ya mwisho kumuona Atoula uwanjani ni lini? Atoula hata kama atakuwa mzima ila hatakiwi kupangwa mechi ya tarehe 8 kwasababu hana match fitness.
Simba ina wachezaji wawili ambao kwasasa ndio wana usumbufu kwa kuwa na kasi ( Kibu na Mpanzu) hivyo kama mimi ni kocha ningempanga Kibwana Shomari nafasi ya Yao Atoula. Kibwana ana uwezo wa kula sahani moja na mchezaji mwanzo mwisho, nakumbuka jinsi Kibu D alivyokuwa anatulizwa na Kibwana hadi anatolewa kwa sub kwavile hana madhara.