Kuzenza kamuli
Member
- Dec 17, 2019
- 19
- 41
Na wa-Congo wangapi?Kikosi kizima kina wa Tanzania 2tu
BaelezeeHakuna timu ya kucheza kimatifa hapo labda NBC
Punguzeni expectations bado kikosi cha kawaida Kwa waarabu au WA amakhosi au timu zinazojielewa[emoji23]Timu hazitapelekewa moto kweli?
View attachment 2287243
Kuna timu ni mafundi wa kukimbia mechi zao dhidi ya Yanga "Invincibles"Timu hazitapelekewa moto kweli?
View attachment 2287243
Naona BEKI BORA Mwamnyeto, mmemkataa! TFF ilipomkataa, mkaona ni njama za Simba!Mashabiki wa simba punguzeni wivu basi.