Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Timu inawachezaji wazee ila viongozi vijanaNamuona WONDER KID Bigirimana hapo, msimu ujao hakika tutatisha sana aiseeh.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Timu inawachezaji wazee ila viongozi vijana
Natabiri kuwa watamanuliwa hatua ya awali kabisa na watapelekewa moto kwa staili wanayoipenda sana ya nje ndani hadi warushe mimaji.Timu hazitapelekewa moto kweli?
View attachment 2287243
Hapo wastani wa umri wa kikosi ni miaka 28...sasa fanya hesabu za nani atapelekewa moto na hao watoto wa miaka 18-22Timu hazitapelekewa moto kweli?
View attachment 2287243
Ndio vile kama ulaya tu we si unaona psg?Kikosi kizima kina wa Tanzania 2tu
Hakuna timu wakati kabla ya hao wageni timu haijafungwa mechi hata moja makombe yote wewe unasema nini?Hamna timu hapo
[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2287412
Safari hii watapigwa katereroNatabiri kuwa watamanuliwa hatua ya awali kabisa na watapelekewa moto kwa staili wanayoipenda sana ya nje ndani hadi warushe mimaji.
Kimataifa ni vibonde nyie bado sanaHakuna timu wakati kabla ya hao wageni timu haijafungwa mechi hata moja makombe yote wewe unasema nini?
Mwamnyeto amepigwa kitu inaitwa zaiko huko Tanga akili zinaruka ruka,inasemekana kamchapia mtu waifu wake.Mbona beki bora aliyedhulumiwa tuzo na Tff elcaptino Nondo Mwamnyeto simuoni hapo??
Wewe hulijui hilo? Angalia uwezo wa Taifa stars jibu unalipata hapo.Mimi mshabiki wa Yanga
Kwanini timu imekuwa ya wageni kwa 95%
Inamaana wazawa hatuna uwezo kabisa? Tunauwa vipaji vya wazawa
Ee bwanaee kweli hii?Mwamnyeto amepigwa kitu inaitwa zaiko huko Tanga akili zinaruka ruka,inasemekana kamchapia mtu waifu wake.
Hili swali alijibu kocha wa Yanga!Timu hazitapelekewa moto kweli?
View attachment 2287243