Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Pamoja na kutambulishwa kwa kikosi hiki cha Yanga leo kwenye siku ya Wananchi lakini bado kuna SURPRISE zinakwenda kutambulishwa muda wowote kupitia Platforms zao na hii tunaiita MSOME JIRANI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi, nasikia Mayele, Djuma na Bangala hawamo, ni kweli hayo?Pamoja na kutambulishwa kwa kikosi hiki cha Yanga leo kwenye siku ya Wananchi lakini bado kuna SURPRISE zinakwenda kutambulishwa muda wowote kupitia Platforms zao na hii tunaiita MSOME JIRANI.
ukipigwa usiseme wanajeshi ni wakorofi shauri yako wanahasira HaoVipi, nasikia Mayele, Djuma na Bangala hawamo, ni kweli hayo?
Punguza mchecheto. Hata Mayele asipokuwepo, bado maumivu yako pale pale.Vipi, nasikia Mayele, Djuma na Bangala hawamo, ni kweli hayo?
Sio mchecheto, natafuta kuhabarishwa maana nipo mahali ambapo access rahisi ya habari kwangu ni JFPunguza mchecheto. Hata Mayele asipokuwepo, bado maumivu yako pale pale.
Miquesson ni failure, huyu anahitaji muda na pengine ashindwe kabisa kurudi kwenye kiwango chake.Kila Mwaka Mnadanganyaa supprise.
Simba wamemtamabulisha Miquesson makusudi.
Maana Kila Mwaka MNASAJILI chama na Miquesson.
AIBU
Jipe moyo!Miquesson ni failure, huyu anahitaji muda na pengine ashindwe kabisa kurudi kwenye kiwango chake.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Asa aibu aone nani? Aliyebeba makombe au asiyebeba makombe?Kila Mwaka Mnadanganyaa supprise.
Simba wamemtamabulisha Miquesson makusudi.
Maana Kila Mwaka MNASAJILI chama na Miquesson.
AIBU
Hilo Bango sijaelewa hivi ni yanga Africa au young AfricanPamoja na kutambulishwa kwa kikosi hiki cha Yanga leo kwenye siku ya Wananchi lakini bado kuna SURPRISE zinakwenda kutambulishwa muda wowote kupitia Platforms zao na hii tunaiita MSOME JIRANI.
View attachment 2696272
Si ujibu tuu? Kweli una maumivu...Punguza mchecheto. Hata Mayele asipokuwepo, bado maumivu yako pale pale.