B bob68 Member Joined Feb 4, 2012 Posts 35 Reaction score 19 Feb 29, 2012 #1 Wakuu naomba kujua ni kipengelee gani cha sheria ya nchi kinachoruhusu kikosi cha zima moto kusimamisha magari na kukakugua fire exstingush na kama hauna unaandikiwa notification.msaada wakuu
Wakuu naomba kujua ni kipengelee gani cha sheria ya nchi kinachoruhusu kikosi cha zima moto kusimamisha magari na kukakugua fire exstingush na kama hauna unaandikiwa notification.msaada wakuu