Kikosi changu bora cha kombe la Dunia Qatar 2022

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Hawa ndio wangeingia kwenye kikosi cha kwanza.

1. E. Martinez
2. Hakimi
3. T. Hernandez
4. Gvardiol
5. Otamendi
6. de Paul
7. Messi
8. Allister
9. Alvarez
10. Modric
11. Mbappe
 
Now days watu wanacopy vitu facebook wanaleta JF, niliona millard kapost
 
MTAZAMO WA Euphrates

Hiki ndio kikosi bora cha wachezaji 11 kutoka mashindano ya fainali za kombe la dunia 2022, QATAR!.




Vipi kuhusu maoni yako wewe? Nani apunguzwe nani aingie badala ya nani? 😃

Naomba tuheshimu huu uzi bila uwepo wa kutukanana kwa namna yoyote ndugu zangu.. Nawapendeni nyote!

Execute
 
Yaani asilimia mia moja nimekiandika kwa mkono wangu bila kuangalia sehemu yoyote. Kombe la dunia nimefuatilia mwanzo mwisho.

Ukiangalia hapo mbona tumetofautiana wachezaji watatu?

Mkuu kwema? Aise jana nimeweka uzi wangu humu wa first eleven, dah umehamishiwa kwako.. najaribu kuingia humu nakutana na first eleven yako ambayo haikutofautiana sana na yangu 😃 ni kama tuliambizana.
 
Team of the tournament Qatar 2022

1. E Martineź [emoji1033]
2. Molina [emoji1033]
3. T Hernandez [emoji632]
4. Gvardiol [emoji1082]
5. Romero [emoji1033]
6. Mac allister [emoji1033]
7. Griezmann [emoji632]
8. Enzo Fernandez [emoji1033]
9. Alvarez [emoji1033]
10. Messi[emoji1033]
11. Mbappe [emoji632]

Coach : Scaloni [emoji1033]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…