Kikosi changu bora cha Ligi Kuu miaka 15 iliyopita

Kikosi changu bora cha Ligi Kuu miaka 15 iliyopita

Joined
Jul 8, 2013
Posts
53
Reaction score
75
Niwe muwazi nimeanza kufuatilia soka la Tanzania nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi na naweza kusema hiki ndicho kikosi changu bora cha muda wote.

1. Juma Kaseja Juma
2. Lubigisa Madata
3. Ramadhan Wasso
4. Boniface Pawasa
5. Victor Costa Nyumba Nampoka
6. Ally Mayay Tembele
7. Said Maulid
8. Seleman Matola
9. Emanuel Gabriel Mwakyusa
10. Mohammed Hussein Mmachinga
11. Edibily Lunyamila

Benchi

1. Peter Manyika
2. Shadrack Nsajigwa
3. Christopher Alex Masawe
4. Ngade Chabanga
5. Ulimwengu Mwakingwe
6. Primus Kasonzo
7. Salvatory Edward
8. Nteze John.
 
Hapo kwa wachezaji wa akiba nadhani ulitaka kuandika ‘Ulimboka Mwakingwe’ na sio ‘Ulimwengu’
 
Joseph Kaniki GOLOTA sijamuona happo.
Malale Khamsini beki Mzanzibar anakaba mpaka kivuli simuoni happo.
 
Joseph Kaniki GOLOTA sijamuona happo.
Malale Khamsini beki Mzanzibar anakaba mpaka kivuli simuoni happo.
Mkuu usichanganye mambo. Amesema kikosi chake yeye bora na wewe unaweza tengeneza cha kwako.
 
Niwe muwazi nimeanza kufuatilia soka la Tanzania nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi na naweza kusema hiki ndicho kikosi changu bora cha muda wote.

1. Juma Kaseja Juma
2. Lubigisa Madata
3. Ramadhan Wasso
4. Boniface Pawasa
5. Victor Costa Nyumba Nampoka
6. Ally Mayay Tembele
7. Said Maulid
8. Seleman Matola
9. Emanuel Gabriel Mwakyusa
10. Mohammed Hussein Mmachinga
11. Edibily Lunyamila

Benchi

1. Peter Manyika
2. Shadrack Nsajigwa
3. Christopher Alex Masawe
4. Ngade Chabanga
5. Ulimwengu Mwakingwe
6. Primus Kasonzo
7. Salvatory Edward
8. Nteze John.
Mkuu sub ap namba Tano sio ulimwengu

Ni ulimboka
 
1- Juma k juma
2- Said sued
3- wasso r wasso
4- mecky mexime
5- Nampoka nyumba "costa"
6- Athuman idd "chuji"
7- Uli
8- Marlone Shaaban Kisiga
9- Athuman Machupa/ Tambwe
10- Boban Haruna moshi
11- Galikula Said Maulid
Kocha Siang'a. Sihitaji sub yoyote ila niletee wamatumbi wowote niwameng'enye waishe.
 
Niwe muwazi nimeanza kufuatilia soka la Tanzania nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi na naweza kusema hiki ndicho kikosi changu bora cha muda wote.

1. Juma Kaseja Juma
2. Lubigisa Madata
3. Ramadhan Wasso
4. Boniface Pawasa
5. Victor Costa Nyumba Nampoka
6. Ally Mayay Tembele
7. Said Maulid
8. Seleman Matola
9. Emanuel Gabriel Mwakyusa
10. Mohammed Hussein Mmachinga
11. Edibily Lunyamila

Benchi

1. Peter Manyika
2. Shadrack Nsajigwa
3. Christopher Alex Masawe
4. Ngade Chabanga
5. Ulimwengu Mwakingwe
6. Primus Kasonzo
7. Salvatory Edward
8. Nteze John.
Ulimboka Mwakingwe
 
Samatta out.
Mmh
 
1. JUMA KASEJA
2. NSAJIGWA
3. ERASTO NYONI
4. KELVIN YONDANI
5. NADIR HAROUB
6. GODFREY BONNY
7. MSUVA
8. NIYONZIMA
9. JOHN BOCCO
10. HARUNA MOSHI BOBAN
11. OKWI
 
Niwe muwazi nimeanza kufuatilia soka la Tanzania nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi na naweza kusema hiki ndicho kikosi changu bora cha muda wote.

1. Juma Kaseja Juma
2. Lubigisa Madata
3. Ramadhan Wasso
4. Boniface Pawasa
5. Victor Costa Nyumba Nampoka
6. Ally Mayay Tembele
7. Said Maulid
8. Seleman Matola
9. Emanuel Gabriel Mwakyusa
10. Mohammed Hussein Mmachinga
11. Edibily Lunyamila

Benchi

1. Peter Manyika
2. Shadrack Nsajigwa
3. Christopher Alex Masawe
4. Ngade Chabanga
5. Ulimwengu Mwakingwe
6. Primus Kasonzo
7. Salvatory Edward
8. Nteze John.
Juma Kaseja na Madata Lubigisa wote ao ni makipa, Alafu Salvatory Edward ana anzia Bench ina maana mchezajigani wa kumweka bench kati ya ao ulio wapanga, lingine iyo timu haina namba mbili, kwa ujumla umechanganya changanya kiasi hawapangiki.
 
Huyo salvatory edward kacheza lini? Heading inasema 15years, we unaleta wastaafu inatakiwa waliocheza kuanzia 2004- 2019
 
Juma Kaseja na Madata Lubigisa wote ao ni makipa, Alafu Salvatory Edward ana anzia Bench ina maana mchezajigani wa kumweka bench kati ya ao ulio wapanga, lingine iyo timu haina namba mbili, kwa ujumla umechanganya changanya kiasi hawapangiki.
Duuh.Madata Lubigisa Alikuwa Kipa? [emoji16][emoji23][emoji23]
 
Duuh.Madata Lubigisa Alikuwa Kipa? [emoji16][emoji23][emoji23]
Namzungumzia Madata Lubigisa aliyekua kipa wa pamba pamoja na Paul Rwechungura wengine David Mwakalebel, Rajab Risasi, Fumo Felician, Beya Simba, Msonga Rashid, George Masatu, Hussen Marsha n.k inawezekana uyo Lubigisa Madata amecheza soka miaka ya Karibun ndio maana simfahamu.
 
Back
Top Bottom