Fredrick Nwaka
Member
- Jul 8, 2013
- 53
- 75
Mkuu usichanganye mambo. Amesema kikosi chake yeye bora na wewe unaweza tengeneza cha kwako.Joseph Kaniki GOLOTA sijamuona happo.
Malale Khamsini beki Mzanzibar anakaba mpaka kivuli simuoni happo.
Mkuu sub ap namba Tano sio ulimwenguNiwe muwazi nimeanza kufuatilia soka la Tanzania nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi na naweza kusema hiki ndicho kikosi changu bora cha muda wote.
1. Juma Kaseja Juma
2. Lubigisa Madata
3. Ramadhan Wasso
4. Boniface Pawasa
5. Victor Costa Nyumba Nampoka
6. Ally Mayay Tembele
7. Said Maulid
8. Seleman Matola
9. Emanuel Gabriel Mwakyusa
10. Mohammed Hussein Mmachinga
11. Edibily Lunyamila
Benchi
1. Peter Manyika
2. Shadrack Nsajigwa
3. Christopher Alex Masawe
4. Ngade Chabanga
5. Ulimwengu Mwakingwe
6. Primus Kasonzo
7. Salvatory Edward
8. Nteze John.
Ulimboka MwakingweNiwe muwazi nimeanza kufuatilia soka la Tanzania nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi na naweza kusema hiki ndicho kikosi changu bora cha muda wote.
1. Juma Kaseja Juma
2. Lubigisa Madata
3. Ramadhan Wasso
4. Boniface Pawasa
5. Victor Costa Nyumba Nampoka
6. Ally Mayay Tembele
7. Said Maulid
8. Seleman Matola
9. Emanuel Gabriel Mwakyusa
10. Mohammed Hussein Mmachinga
11. Edibily Lunyamila
Benchi
1. Peter Manyika
2. Shadrack Nsajigwa
3. Christopher Alex Masawe
4. Ngade Chabanga
5. Ulimwengu Mwakingwe
6. Primus Kasonzo
7. Salvatory Edward
8. Nteze John.
Samatta out.Niwe muwazi nimeanza kufuatilia soka la Tanzania nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi na naweza kusema hiki ndicho kikosi changu bora cha muda wote.
1. Juma Kaseja Juma
2. Lubigisa Madata
3. Ramadhan Wasso
4. Boniface Pawasa
5. Victor Costa Nyumba Nampoka
6. Ally Mayay Tembele
7. Said Maulid
8. Seleman Matola
9. Emanuel Gabriel Mwakyusa
10. Mohammed Hussein Mmachinga
11. Edibily Lunyamila
Benchi
1. Peter Manyika
2. Shadrack Nsajigwa
3. Christopher Alex Masawe
4. Ngade Chabanga
5. Ulimwengu Mwakingwe
6. Primus Kasonzo
7. Salvatory Edward
8. Nteze John.
NaamHapo kwa wachezaji wa akiba nadhani ulitaka kuandika ‘Ulimboka Mwakingwe’ na sio ‘Ulimwengu’
Juma Kaseja na Madata Lubigisa wote ao ni makipa, Alafu Salvatory Edward ana anzia Bench ina maana mchezajigani wa kumweka bench kati ya ao ulio wapanga, lingine iyo timu haina namba mbili, kwa ujumla umechanganya changanya kiasi hawapangiki.Niwe muwazi nimeanza kufuatilia soka la Tanzania nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi na naweza kusema hiki ndicho kikosi changu bora cha muda wote.
1. Juma Kaseja Juma
2. Lubigisa Madata
3. Ramadhan Wasso
4. Boniface Pawasa
5. Victor Costa Nyumba Nampoka
6. Ally Mayay Tembele
7. Said Maulid
8. Seleman Matola
9. Emanuel Gabriel Mwakyusa
10. Mohammed Hussein Mmachinga
11. Edibily Lunyamila
Benchi
1. Peter Manyika
2. Shadrack Nsajigwa
3. Christopher Alex Masawe
4. Ngade Chabanga
5. Ulimwengu Mwakingwe
6. Primus Kasonzo
7. Salvatory Edward
8. Nteze John.
Huyo salvatory edward kacheza lini? Heading inasema 15years, we unaleta wastaafu inatakiwa waliocheza kuanzia 2004- 2019Juma Kaseja na Madata Lubigisa wote ao ni makipa, Alafu Salvatory Edward ana anzia Bench ina maana mchezajigani wa kumweka bench kati ya ao ulio wapanga, lingine iyo timu haina namba mbili, kwa ujumla umechanganya changanya kiasi hawapangiki.
Duuh.Madata Lubigisa Alikuwa Kipa? [emoji16][emoji23][emoji23]Juma Kaseja na Madata Lubigisa wote ao ni makipa, Alafu Salvatory Edward ana anzia Bench ina maana mchezajigani wa kumweka bench kati ya ao ulio wapanga, lingine iyo timu haina namba mbili, kwa ujumla umechanganya changanya kiasi hawapangiki.
Namzungumzia Madata Lubigisa aliyekua kipa wa pamba pamoja na Paul Rwechungura wengine David Mwakalebel, Rajab Risasi, Fumo Felician, Beya Simba, Msonga Rashid, George Masatu, Hussen Marsha n.k inawezekana uyo Lubigisa Madata amecheza soka miaka ya Karibun ndio maana simfahamu.Duuh.Madata Lubigisa Alikuwa Kipa? [emoji16][emoji23][emoji23]