Kikosi changu bora cha Ligi Kuu NBC mzunguko wa kwanza

Kikosi changu bora cha Ligi Kuu NBC mzunguko wa kwanza

Kareem97

Member
Joined
Oct 7, 2021
Posts
7
Reaction score
8
Huu ni mtazamo wangu kuhusu kikosi changu Bora cha mzunguko wa kwanza NBC premear League

1: Djigui Diara
2: Djuma Shabani
3: Mohamed Hussein
4: Henock Inonga
5: Bakari Mwamnyeto
6:Yanick Bangala
7: Leurant Lusajo
8: Khalid Aucho
9: Fiston Mayele
10: Feisal Salumu
11: Said Ntibanzokiza

SUB
Manula, Kapombe, Tepsi, Mpole, Mkude, Sakho, Mauya, Luhende, Kola, Mkandala, Onyango

Kocha

Nasredine Nabi
 
Utopolo katika ubora wao sasa hao wachezaji bora mbona walitolewa mapema kule kimataifa amebaki yule mwenye wachezaji wazee au umesahau
 
Utopolo katika ubora wao sasa hao wachezaji bora mbona walitolewa mapema kule kimataifa amebaki yule mwenye wachezaji wazee au umesahau
Acha makasiriko mtoto wa kike, nawe weka kikosi chako kila mtu ana maoni yake.
 
Acha makasiriko mtoto wa kike, nawe weka kikosi chako kila mtu ana maoni yake.
Simba hakuna watoto wakike mashoga kama ww mkiongozwa na kabwili mnapatikana yanga simba hakuna mashoga kama ww na manara mke wa hersi.
 
Kwanini lazima mtukanane.imefika mahali tunashindwa tambua nani ni mwanaume nani ni mwanamke. Ubavu na matusi ndicho mnachojua, michezo ya kushangilia ipo mingi au hata taarab ni burudani.
 
Kwanini lazima mtukanane.imefika mahali tunashindwa tambua nani ni mwanaume nani ni mwanamke. Ubavu na matusi ndicho mnachojua, michezo ya kushangilia ipo mingi au hata taarab ni burudani.
Mkuu pitia comment vizuri utaona nani kaanza kumtukana mwenzake mimi binafsi sipendi matusi ila nimetoa maoni yangu nashangaa mtu ananiita majina ya ajabu nikajibu mashambulizi ila yameisha mkuu.
 
Acha maneno yako mchicha mwiba
Naona unataka kupunguza stress zako ila tambua simba hakuna mchicha mwiba hao watu wapo yanga,

Manara vs hersi
Kabwili
Ww mwenzako nani pale maana kabwili alisema mpo wengi naona mnaanza kujitokeza.
 
Back
Top Bottom