Kikosi changu bora kabisa cha NBC Premier League 2021 / 2022

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Djigui Diara ( Yanga SC )
2. Shaaban Djuma ( Yanga SC )
3. Mohammed Hussein Tshabalala ( Simba SC )
4. Dickson Job ( yanga SC )
5. Henock Inonga ( Simba SC )
6. Yannick GENTAMYCINE Bangala ( Yanga SC )
7. Edmund Godfrey ( Geita Gold FC )
8. Khalid GENTAMYCINE Aucho ( Yanga SC )
9. Fiston GENTAMYCINE Mayele ( Yanga SC )
10. George Mpole ( Geita Gold FC )
11. Shizya Kichuya ( Namungo FC )

Imeandikwa na Fundi Mwenyewe wa Mpira na aliyeucheza vile vile halafu ana Jicho Kali la Kumjua Mchezaji mzuri ndani ya Dakika Tatu ( 3 ) na hajawahi Kukosea pia GENTAMYCINE wa JamiiForums. Na GENTAMYCINE nikisema kuwa hujui jua haujui ( hujui ) kweli hivyo achana na Mpira nenda Kabebe zako Magunia Sokoni Kingalu au Kariakoo.

Kama Kikosi changu hiki Kitakufanya Unune au Unichukie Ushauri wangu tafuta Sumu ya Panya ikorogee katika Kikombe kisha tizama Juu Mbinguni sema Haleluyah kisha Kinywe Ufe kabisa na tutakutana sote Paradiso Siku Moja. Na ukitaka niwataje Wachezaji wa Timu yako ' Mapopoma' walioko Songea kawaambie wajitahidi Msimu ujao.

Cc: adriz
 
Kikosi kizuri ila umelazimisha aucho awepo .Ni mchezaji mzuri ila
Hapo atacheza nafasi ipi sasa?
Kumbuka he is pure a holding mid
 
Tanzania hakuna kama kapombe na tshabalala tunawachukulia poa kwasababu ni wa Tanzania.
 
kapombe wa kufananishwa na djuma mkuu?
Nilijua tu kuwa Wendawazimu wa Simba SC ( ambayo pia nsshabikia ) mtachukia na hiki Kikosi changu kwakuwa kina Wachezaji wengi wa Yanga SC.

Ngojeni leo niwafundishe Mpira. Sikatai kuwa Shomari Kapombe siyo Beki mzuri ila nakuuliza Kapombe wetu amefunga Goli ngapi? Kapombe kacheza Mechi ngapi? Kapombe amechangia ( assist) goli ngapi?

Shaaban Djuma amemzidi Shamari Kapombe wetu karibu katika kila Nyanja sasa kwanini nisimuweke? Ukiondoa kuwa GENTAMYCINE ni mwana Simba SC ila tambua kuwa ni Mtu es Mpira na huo Mpira Wenyewe nimeucheza ( nimeupiga ) vile vile sawa?

By the way nimeshasema kuwa hiki ni Kikosi changu Mimi GENTAMYCINE hivyo basi kama Kimekukwaza tafadhali nawe tengeneza chako wajaze Wachezaji wako wote Wabovu na Wasio na Faida wa Simba SC ili Uridhike / Mridhike sawa?

Imeisha hiyo.......!!!!!!

Cc: adriz
 
Tanzania hakuna kama kapombe na tshabalala tunawachukulia poa kwasababu ni wa Tanzania.
Hebu nitokee hapa hopeless mkubwa Wewe na peleka huko Usimba wako.

Sasa kama unajua hawa Wote Kwako ndiyo wazuri si utengeneze Kikosi chako?

Kuna Mtu amekuzuia kuja na Kikosi chako? Mijitu ya Simba SC ni Mijuha ( Mizuzu ) mno.

Huyo Mohammed Hussein Tshabalala wa Simba SC hujaona nimemtaja hapo?
 
Nilijua tu kuwa Wendawazimu wa Simba SC ( ambayo pia nsshabikia ) mtachukia na hiki Kikosi changu kwakuwa kina Wachezaji wengi wa Yanga SC...
Jibu kwa hoja siyo unatusi watu ,matusi tunayajua pia
 
Nilijua tu kuwa Wendawazimu wa Simba SC ( ambayo pia nsshabikia ) mtachukia na hiki Kikosi changu kwakuwa kina Wachezaji wengi wa Yanga SC.

Ngojeni leo niwafundishe Mpira. Sikatai kuwa Shomari Kapombe siyo Beki mzuri ila nakuuliza Kapombe wetu amefunga Goli ngapi? Kapombe kacheza Mechi ngapi? Kapombe amechangia ( assist) goli ngapi?

Shaaban Djuma amemzidi Shamari Kapombe wetu karibu katika kila Nyanja sasa kwanini nisimuweke? Ukiondoa kuwa GENTAMYCINE ni mwana Simba SC ila tambua kuwa ni Mtu es Mpira na huo Mpira Wenyewe nimeucheza ( nimeupiga ) vile vile sawa?

By the way nimeshasema kuwa hiki ni Kikosi changu Mimi GENTAMYCINE hivyo basi kama Kimekukwaza tafadhali nawe tengeneza chako wajaze Wachezaji wako wote Wabovu na Wasio na Faida wa Simba SC ili Uridhike / Mridhike sawa?

Imeisha hiyo.......!!!!!!

Cc: adriz
Kweli kabisa ,Kapombe misimu ya karibuni ameshuka sana kiwango hata timu ya Taifa tukicheza mechi upande wa kapombe mara nyingi wapinzani hutumia kama uchochoro na ndio upande uliotokea magoli mengi kwa mechi za karibuni tofauti kwa Tshabalala wanapata upinzani mkubwa
 
Back
Top Bottom