The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Wewe ni shabiki wa Mikia FC.Habari za asubuhi wadau, kwa jinsi nilivyo fuatilia ligi kuu ya Tanzania bara TP, hiki ndio kikosi changu bora, unaweza weka chako pia.
1.Aishi Manula
2. Nickolas Wadada
3. Mohamed Hussein
4.Kelvin Yondani
5. Erasto Nyoni
6. James Kotei
7. Feisal Salum
8.Clatou Chama
9.John Boko Head Coach: Patrick Aussems
10. Meddie kagere Assistant : Ettiene Ndayigarie
11. Emmanuel Okwi Spokesperson: Haji Sunday Manara
Sub
1. Razak Abarola
2. Shomari Kapombe
3.Gadiel Michael
4. Agrey Moris
5.Salum Aiyee
6. Heritier Makambo
Dogo namkubali sana.Jamaa kwanini mnamsahau Paul Godfrey Boxer, ungekua nae hata kwenye sub, kikosi chako na changu vingefanana 10%, ingawa mie ningemuacha Okwi.
dogo kwenye kumwaga maji bado hajaiva vizuri akiweza hilo atakua tegemeo sana mbeleniBoxer anajua sana yule dogo
Una mahaba na mikia wewe! Wapi Ajibu, Mudathili, Kimenya, Kihimbwa? Kapombe kacheza mechi sijui 3 afu yupo sabu!Habari za asubuhi wadau, kwa jinsi nilivyo fuatilia ligi kuu ya Tanzania bara TP, hiki ndio kikosi changu bora, unaweza weka chako pia.
1.Aishi Manula
2. Nickolas Wadada
3. Mohamed Hussein
4.Kelvin Yondani
5. Erasto Nyoni
6. James Kotei
7. Feisal Salum
8.Clatou Chama
9.John Boko Head Coach: Patrick Aussems
10. Meddie kagere Assistant : Ettiene Ndayigarie
11. Emmanuel Okwi Spokesperson: Haji Sunday Manara
Sub
1. Razak Abarola
2. Shomari Kapombe
3.Gadiel Michael
4. Agrey Moris
5.Salum Aiyee
6. Heritier Makambo
shabiki wa gongowaziKwa upande wangu Mimi
1. Aishi Manila
2.Puulo Godfrey
3. Muhamedi Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondani
6. James Kotei
7. Iddi sulemani ( nado)
8. Mapinduzi Balama
9. Meddie Kagere
10. Ebenezer Makambo
11. Hassani Kabunda
Sub.
1.Metacha mnata
2.Gadiel Michael
3. Ally sonso
4. Haruna Niyonzima
5. Feisal salum
6. John Bocco
Head Coach: Mwinyi Zahera
Assistant Coach: Etienne Ndairagije
Kikosi kimezingatia ubora wa mchezaji husika.
Hapo umeharibu, maana kila siku atalalamikaHead Coach: Mwinyi Zahera
ManulaUna mahaba na mikia wewe! Wapi Ajibu, Mudathili, Kimenya, Kihimbwa? Kapombe kacheza mechi sijui 3 afu yupo sabu!
Utakua shabik wa pikipik FcHabari za asubuhi wadau, kwa jinsi nilivyo fuatilia ligi kuu ya Tanzania bara TP, hiki ndio kikosi changu bora, unaweza weka chako pia.
1.Aishi Manula
2. Nickolas Wadada
3. Mohamed Hussein
4.Kelvin Yondani
5. Erasto Nyoni
6. James Kotei
7. Feisal Salum
8.Clatou Chama
9.John Boko Head Coach: Patrick Aussems
10. Meddie kagere Assistant : Ettiene Ndayigarie
11. Emmanuel Okwi Spokesperson: Haji Sunday Manara
Sub
1. Razak Abarola
2. Shomari Kapombe
3.Gadiel Michael
4. Agrey Moris
5.Salum Aiyee
6. Heritier Makambo
Mkuu hayo ni maoni yangu sio lazima yaendane na yako na ndo maana nikasema kikosi bora kwa mtazamo wangu.Una mahaba na mikia wewe! Wapi Ajibu, Mudathili, Kimenya, Kihimbwa? Kapombe kacheza mechi sijui 3 afu yupo sabu!
Na wewe ni chura anayetagaWewe ni shabiki wa Mikia FC.
Gogowazi ndo nini?shabiki wa gongowazi
YangaGogowazi ndo nini?