Kikosi changu bora mzunguko wa kwanza ligi kuu..

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Hiki ni kikosi bora mzunguko wa kwanza mpaka sasa tumeingia mzunguko wa pili.

Djgui diarra
djuma shaban
kibwana shomary
Dickson job
bakari mwamnyeto
Litombo bangala
aucho
feisal salum
saido ntibazonkiza
fiston mayele
jesus moloko.

SUB : aishi manula, shomary kapombe, Mohamed Hussein, henoc inonga, joash onyango, jonas mkude, tepsie Evans, keneth muguna, reliant lusajo..

hiki kikosi kimeshinda mechi nyingi kuliko wengine.

kimeshinda mechi nyingi za ugenini .

Wachezaji wake wamefunga magoli mengi.

Imefungwa magoli machache .

kinaongoza ligi.

kinaongoza kwa kupiga pasi nyingi.

sasa hapa hats ungekuwa wewe ungemuweka nani?

siko kiusbabiki kabisa ila ni ukweli.
 
Ngoja Genta mzee wa ID buku aje
 
Hicho Kikosi na Mwamnyeto yupo...?
Taifa stars huwa haifiki mbali Sababu Kubwa ni Huyu Jamaa.....Kasha tucost Sana Kama Taifa..!
 
Hicho Kikosi na Mwamnyeto yupo...?
Taifa stars huwa haifiki mbali Sababu Kubwa ni Huyu Jamaa.....Kasha tucost Sana Kama Taifa..!
huu ni wivu kwa kazi kubwa anayoifanya yanga pale mpaka makocha national team wanamuita basi watakuwa vichaa labda.
 
Afu Manula Kawa Included Kikosi bora Cha CAF wewe unatuwekea Utani wa Diarra....Huyu Diarra Si Alikuwa Afcon huyu..? Ina Maaana CAF hawakumuona ..embu acha UTANI..! Huyu Diarra Kaeni nae nyie Utopolo..!
 
Afu Manula Kawa Included Kikosi bora Cha CAF wewe unatuwekea Utani wa Diarra....Huyu Diarra Si Alikuwa Afcon huyu..? Ina Maaana CAF hawakumuona ..embu acha UTANI..! Huyu Diarra Kaeni nae nyie Utopolo..!

Mtoa mada ametoa tathmini ya kikosi bora cha mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya NBC! Sasa wewe haya masuala ya CAF, sijui Afcon! Umeyatoa wapi?

Umepaniki?
 
Pia kinaongoza kwa kupoteza nje ndani mechi za kimataifa.
 
Naunga mkono hoja japokuwa makolo watabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…