Kikosi changu bora

Kikosi changu bora

olele

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
1,305
Reaction score
1,572
Kwa kifupi nimeanza kuangalia soka la majuu kwenye kuanzia mwaka 1994, na kwa kipindi hicho nimefanikiwa kuwaona nyota kadhaa wakichipukia hadi kustaafu mpira,

kifuatacho ni kikosi changu bora kabisa cha jumla ya wachezaji 20. kati ya hao nitachagua first Eleven, olele X1,

hapa nazungumzia wachezaji ambao nimewaona wakicheza kuanzia miaka ya 1996 hadi sasa. pia Ni-declare interest kabisa kuwa mimi ni shabiki wa Liverpool,

1. Oliver Khan

2. Cafu

3.Robarto Carlos

4. John Terry

5. Allexandro Nesta

6: Patrick Vieira

7: Leonel Messi

8: Zinedine Zinade

9: Ronaldo de Lima

10: Thiery Henry

11: Christiano Ronaldo

Sub:
1: Gianluig Buffon
2: Fabio Cannavaro
3: Xavi Hernandez
4: Ronaldinho Gaucho
5. David Villa
6. Steven Gerrald (anaingia kwa upendeleo maalumu)
7: Andres Iniesta
8: Dani Alves
9. Luis Suarez

Kwa heshima nawataja:
Edwin Van der sar, Alesandro Del Piero, Lucio, David Bergkamp, Samuel Etoo

Usitoe kashfa na wewe taja kikosi chako
 
Etoooooooooooooooooooooo huyo ndo mcheza bora kwang Africa nzima na cjui km atakuja km yy
 
Unawaachaje Luis Figo na Ricardo Kaka afu umwingize hapo David Villa., unaanzaje kutomweka D. Beckham hata benchi... Pengine pote uko sawa yangu ndo hayo..
 
Kama Andre Pirlo hayupo hapo!!!!!!
 
Unaanzaje kumuweka sub Gaucho?
Kwangu ndo mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea ktk sayari hii
 
Unawaachaje Luis Figo na Ricardo Kaka afu umwingize hapo David Villa., unaanzaje kutomweka D. Beckham hata benchi... Pengine pote uko sawa yangu ndo hayo..
kwa ricardo kaka na luis figo Sawa, sasa we niambie nimtoe nani ili niwaweke hao.. zingatia pia balance ya team... Ila kwa D. Beckham Sikubaliani nawe hata kidogo.. bora ungesema Paul Scholes
 
Unaanzaje kumuweka sub Gaucho?
Kwangu ndo mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea ktk sayari hii
Hapa nilipata shida sana kwani mpinzani wake ni zidane. Kilichonifanya nimuweke zizou ni discpline ya mchezo uwanjani kuliko gaucho ambaye mda mwingine hufanya kuwafurahisha mashabiki
 
Yaani Romario hujamuweka hapo Una tatizo gani ktk fikra zako?
sina tatizo kwenye fikra mkuu, kuwa tofauti kimawazo na ww haifanyi niwe na tatizo la kifikra..

by the way.. sijafanikiwa kumuona Romario sana kama hao washambuliaji niliowataja.. miaka hyo ya 96 ndio alikua anamalizia soka lake.. ndo maana world cup ya 98 aliachwa
 
Hapa nilipata shida sana kwani mpinzani wake ni zidane. Kilichonifanya nimuweke zizou ni discpline ya mchezo uwanjani kuliko gaucho ambaye mda mwingine hufanya kuwafurahisha mashabiki
Kweli,, nidhamu ndo imemfanya Gaucho atoke kwenye ligi za ushindani mapema...
Starehe noma sana
 
hatari mtoa mada mchezaji aliyevunja rekodi kucheza UEFA mara nyingi hayupo jamani yaani amecheza misimu 15 mfululizo bila kuumia na amestaafu kulingana na umri sio kiwango kilishuka hapana basi ngoja nikutajie ZANETI
 
Wako wapi hawa totti, puto, requelme na nedved
 
Unadai umeangalia mpira kitambo ni sawa lkn list yako ina wachezaji wengi wa karibuni umeamuache king erick,romario,rivaldo,pablo nedved,george hagi,lothar matthaus,patrick cluivert,mark overmass claudio makelele aisee acha tu
 
hatari mtoa mada mchezaji aliyevunja rekodi kucheza UEFA mara nyingi hayupo jamani yaani amecheza misimu 15 mfululizo bila kuumia na amestaafu kulingana na umri sio kiwango kilishuka hapana basi ngoja nikutajie ZANETI
hapo mkuu unaniambia nimuweke benchi Robart Carlos
 
Unadai umeangalia mpira kitambo ni sawa lkn list yako ina wachezaji wengi wa karibuni umeamuache king erick,romario,rivaldo,pablo nedved,george hagi,lothar matthaus,patrick cluivert,mark overmass claudio makelele aisee acha tu
Hapo kwa makelele una hoja mkuu, nilipata changamoto kati yake yy na vieira, ila nadhani kuna vitu vieira amemzidi kidogo. pia Pavel Nedved (sio pablo) ni mkali sana, nakumbuka yy ndo aliziba pengo la zizou pale juve, ila tu ana bahati mbaya maana namba yake yuko na zizou mwenyewe na gaucho.

kuhusu hagi, lothar na romario kesi zao zinafanana, miaka ya 96 na kuendelea kidogo ndio walikua wanamalizia soka lao.

Patrick cluivert na mark overmass walikua ni wazuri ila sio wa kiwango cha world class
huyo king erick sijajua unamzungumzia erick yupi
au erick njemba njemba (hahaaa)
 
Kwa kifupi nimeanza kuangalia soka la majuu kwenye kuanzia mwaka 1994, na kwa kipindi hicho nimefanikiwa kuwaona nyota kadhaa wakichipukia hadi kustaafu mpira,

kifuatacho ni kikosi changu bora kabisa cha jumla ya wachezaji 20. kati ya hao nitachagua first Eleven, olele X1,

hapa nazungumzia wachezaji ambao nimewaona wakicheza kuanzia miaka ya 1996 hadi sasa. pia Ni-declare interest kabisa kuwa mimi ni shabiki wa Liverpool,

1. Oliver Khan

2. Cafu

3.Robarto Carlos

4. John Terry

5. Allexandro Nesta

6: Patrick Vieira

7: Leonel Messi

8: Zinedine Zinade

9: Ronaldo de Lima

10: Thiery Henry

11: Christiano Ronaldo

Sub:
1: Gianluig Buffon
2: Fabio Cannavaro
3: Xavi Hernandez
4: Ronaldinho Gaucho
5. David Villa
6. Steven Gerrald (anaingia kwa upendeleo maalumu)
7: Andres Iniesta
8: Dani Alves
9. Luis Suarez

Kwa heshima nawataja:
Edwin Van der sar, Alesandro Del Piero, Lucio, David Bergkamp, Samuel Etoo

Usitoe kashfa na wewe taja kikosi chako
Fernando Hierro,Redodndo,Requlme,Edgar David,kluivert,Rene Higuita(sp am not sure?Steve mac manaman,Paul Scholles.Figo,Luis Enrique,Morrientes,Careca,Gary Linekar,Boby Chalton(Sir)Goerge Best,Sherigham,Hasselbank Jimmy floyd.Nuno Valente,Gigs,Mafisango!hahahaha
 
Back
Top Bottom