Kikosi changu cha kwanza cha NBC Premier League kwa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu

Ni kawaida na mawaumbile Mungu ameumba, nimemueleza tu kuwa aweke vizuri.

Kwani wee ukiambiwa tumia akili umekashifiwa?
Halafu acha kujipa uwezo ambao huna mkuu wewe si chochote kwenye uerevu bali, ni mpuuzi fulani hivi.
Huna lolote unalojua zaidi ya kuwa na uwezo chini ya kawaida. Siku zote umejifanya unajua soka lkn kiuhakika unapaswa kuishia kuwa shabiki wa Faru dume FC. Huko Simba unajitahidi kuwadanganya wanaSimba wa JF àmbao Kwa Sasa wengi wamekushitikia. Ni Bora ungekaa kimya ukaficha ujinga wako kuliko kusema ukajianika Kila kitu.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Unajua nini wewe ikiwa tu Mchezaji kuingia uwanjani bila ruhusa ya mwamuzi hufahamu mpaka unakuja kuuliza hapa.

Halafu wapi nimewadanganya wanasimba na kwa lipi? Yaani kutoa Kikosi ndo kudanganya?

Nalazimika ku conclude kuwa ujinga ndo sehemu ya maisha yako.
 
We utakuwa na mahaba na Diara kwani hata yeye kuna game hawepo ndo nimempunguza alama

Lakini golikipa mzuri..!
Acha undezi mimi kwa kipa sinzungumzii kukosa mechi mimi nazungumiza magoli ya kufungwa kati diara, manura na mnata nani ksfungwa goli nyingi
 
Acha undezi mimi kwa kipa sinzungumzii kukosa mechi mimi nazungumiza magoli ya kufungwa kati diara, manura na mnata nani ksfungwa goli nyingi
Sasa Manula si namba moja hapo au ukitaka Diara awe namba ngapi?

Halafu ungeweka mtazamo wako na si kulalamika tu hapa.

Halafu ni Manula na si manura, anza hapo kwanza.
 
Ni player mzuri sana akipata watu sahihi, na msaidizi wake hapo naweza kumuweka Mzee Ntibanzokiza.
Huyo Ni Dube Wa Msimu Uliopita Sio Huu, Timu Yako Uloipanga Ni Nzuri Kuanzia Nyuma Mpaka Kwa Viungo Lakini Kwa Hao Washambuliaji Watatu Apo Mbele Umezingua.
 
Makolo Fc mnapiga siasa siku hizi.Ondoa wachezaji wetu kwenye hicho kikosi chako.
 
Sawa huyo Chama amecheza mechi nyagapi mzunguko wa kwanza
 
Jamaa anakua kama inzi yeye akiamka asubuhi anawaza mavi yake yako wapi
Sawa Kabwili, Nadhani umekasirika kwa vile bwana wako hayupo kwenye Kikosi.

Yaani kutokuwepo kwenye Kikosi changu ndo hivyo je endapo akihama itakuwaje..!
 
Uliona wapi Manyani, Sokwe wakaelewa chochote..Toa mwiko huo unaokutekenya halafu uje hapa
Aliyewapa jina la mbumbumbu fc hajakosea ,akili kisoda hamna tofauti na kerubi wa mfalme zumaridi
 
Aliyewapa jina la mbumbumbu fc hajakosea ,akili kisoda hamna tofauti na kerubi wa mfalme zumaridi
Hivi yule Kocha Luc umesahau alivyokuita Nyani, Sokwe? Umepanik bwana wako kukaa benchi..! Punguani wa Akili
 
Shi
Hivi yule Kocha Luc umesahau alivyokuita Nyani, Sokwe? Umepanik bwana wako kukaa benchi..! Punguani wa Akili
Naona umeshapanic bwana mdogo relax mpira hauitaji hasira kunywa maji ushushe temper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…