Kikosi changu cha kwanza cha NBC Premier League kwa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu

Shi

Naona umeshapanic bwana mdogo relax mpira hauitaji hasira kunywa maji ushushe temper
Nipo kawaida sana na hakuna Kejeli mpya wa tusi jipya chini ya Jua

Na hakuna asiyejua matusi isipokuwa ni uamuzi tu

Kuna wajinga wenzako wamekuja moto kama wewe na nimewatuliza.
 
Nipo kawaida sana na hakuna Kejeli mpya wa tusi jipya chini ya Jua

Na hakuna asiyejua matusi isipokuwa ni uamuzi tu

Kuna wajinga wenzako wamekuja moto kama wewe na nimewatuliza.
Inferiority complex ndio inayokusumbua wewe kolo fc a.k.a pampula fc tulia dozi iwaingie ,kila kukicha mnajifariji na thread mpya ..young Africa mayele straiker wa dunia derby itakayokuja lazima awafirimbe
 
We utakuwa na mahaba na Diara kwani hata yeye kuna game hawepo ndo nimempunguza alama

Lakini golikipa mzuri..!
Diara akiwa hayupo inampunguzia point za kuwepo ila chama hakuwepo mechi nyingi yeye hapunguziwi alama hahahahaha haya sio mapenzi ni mahaba
 
Inferiority complex ndio inayokusumbua wewe kolo fc a.k.a pampula fc tulia dozi iwaingie ,kila kukicha mnajifariji na thread mpya ..young Africa mayele straiker wa dunia derby itakayokuja lazima awafirimbe
Straiker wa duniani? Nikisema huko kwenu kuitwa Manyani na Sokwe ilikuwa sahihi nitakosea..!
 
Hahahaha onyango huyu huyu anaye lambishwaga mchanga ama kuna mwingine

Mwamnyeto kumkuta onyango utasubiri sana
Kuna mishabiki mingine wapumbavu kuleta hoja kama hizi ni ngumu kwao Kazi Kutukana..!

Mkuu hii mijadala ndo tunataka yaani
 
Straiker wa duniani? Nikisema huko kwenu kuitwa Manyani na Sokwe ilikuwa sahihi nitakosea..!
Mayele atazidi kuwakera mpaka mkumbuke bilion 20 zenu kwa ng'ombe.kanunue ndimu na udongo upunguze masononeko na timu ya wananchi
 
Kuna mishabiki mingine wapumbavu kuleta hoja kama hizi ni ngumu kwao Kazi Kutukana..!

Mkuu hii mijadala ndo tunataka yaani
Wewe pale Simba kuna forward gani inayomkaribia mayele? Jumla ya magoli yote yaliyofungwa mugalu,kagere,sakho,chama bado hamfikii magoli ya mayele
 
Wewe pale Simba kuna forward gani inayomkaribia mayele? Jumla ya magoli ya mugali,kagere,sakho,chama bado hamfikii magoli ya mayele
Kwani kuna forward ya Simba SC nimeweka hapo? Kaza macho hayo uone vizuri..!

Halafu jifunze kuandika vizuri na si kulundika pamoja tu.
 
Kama ungekuwa na uelewa ungejua tu kwamba Mtu kufikia kuuliza kitu basi ana uelewa na hicho kitu. Ningekuwà sielewi hata kuuliza nisingeweza. Mbona wewe hukueleza hiyo kasoro kama kweli unajua? Hata hivyo swali langu lilielekezwa Kwa Wenye busara na si kwako.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Hana anachojua. Mwanzo aliaminika Sana Kati ya mashabiki wa Simba Kwa vile watu wanamchukia Genta. Lakini Genta ana uelewa mkubwa Sana huwezi kimlinganisha na huyu.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Kuandika kwangu si lazima nikufuhishe wewe, watakao elewa inatosha..!

Na si lazima mtu kukubalika na wote, ni vile tu hujui tamaduni za kibinadamu.

Najua uliumia sana pale nilipogusa mabwana zako kuhusu GSM mpaka leo..!

Na nitakupapasa mno.
 
Huu ushabiki wako utakusababishia ugonjwa wa sonona
 
Bora umesema ili ajielewe kwamba Hana kitu kichwani. Watu wanamsema vibaya Gentamycine kuwa ni Popoma wakati Popoma halisi ni huyu.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Sasa umekuwa malaya wa kutafuta huruma kwa watu..!

Hujawahi kujenga hoja yeye mantiki zaidi ya kusifia tu wanaume..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…